Wanawake wakiacha umeingia katika uzee age 60+ wanaanza kujaribu kukuua .
Akishindwa mbinu zake anaanza kutumia Watoto ambao mmewapata .
Sasa wewe Kama Baba usipokuwa makini utashangaa unaanza kutengwa na watoto bila kujua Sababu ni nini .
Mimi ilikosa kidogo nimpoteze Mzee wangu Ila niliamua...
Maisha ya mapenzi yamejaa comedy na stress kwa wakati mmoja, Naona ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri wa kuoa, Tayari ni takribani miaka miwili na miezi minne tangu nianze kuamua kutafuta mtu wa kuoa lakini bado sijafanikiwa.
. Safari hii imekuwa ya mizunguko na drama kibao hadi sasa, na...
Natumai wote ni wazima wa afya, licha ya kipindi hiki kigumu ambacho wengine bado tupo kwenye maombolezo na wengine tukiendelea kupambania ndoto ya uchaguzi huru na wa haki kwa taifa letu.
Leo nimekutana na simulizi ya maisha ya mama mmoja ambaye kwa heshima nitamwita Asha. Kwa kweli imenigusa...
Jamaa yangu anakaa Tandika ila home kwao ni Mbagala Kuu, alikuwa na brother yake anakaa Ulaya anapiga mishe huko baada ya kumaliza Masomo.
Sasa brother yake alikufa kwa ajali two weeks ago na yeye ndiye aliyekuwa anatuma pesa nyingi za matumizi hapo home kwao tofauti na mshkija wangu ambaye...
Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)
Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba
Wote Elimu zao ni kuanzia Form six na kuendelea
Hakuna mlevi
Hakuna mzinzi
Hakuna Malaya
Hii wakuu imekaaje ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.