fainali uefa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Full Time UEFA Final: PSG 1 -1 Arsenal - Puskás Arena | May 30, 2026 - Baada ya Penati PSG anaibuka Bingwa (4-3)

    Arsenal akishinda nipewe ban ya siku 3, nimechoka kelele zao😵‍💫' Aloooo hawa watu wana keleleee sanaaaaaaà, unawanaonea huruma wana miaka ya mtu mzima bila kombe ila wakishinda hatunywi maji! PSG nao wana kiu ya kushinda na usongo wa kupata ushindi kwa mara ya pili, mechi otakuwa motooo, ila...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Robo Fainali UEFA: Liverpool na Barcelona kufanya 'Comeback' dhidi ya PSG na Atletico leo?

    Liverpool na Barcelona usiku wa leo zinakabiliwa na kibarua kigumu cha kujaribu kufanya mapinduzi (comeback) katika michezo yao ya marudiano ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA). Timu zote mbili zinaingia uwanjani zikiwa na deni la mabao mawili, hali inayozilazimu kushinda kwa...
  3. Manepesa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchezo wa fainali UEFA, tiketi Moja ni Milioni 14 za kitanzania, bei ya chini kabisa, ila bongo elfu 5 tu mnalialia.

    Nawaza ingekua ndio derby ya bongo imeahirishwa na tiketi Moja ni 14,000,000, si kungezuka vita nchini? 😂 Habari zingesambaa duniani kote , watu wauana baada ya derby kuahirishwa, bodi ya ligi yakimbis kusikojulikana😂, Mzee Mguto na President Karia wafichwa ikulu kuepusha shari 😂😂😂😂 Anyway kila...
  4. pwilo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbabe wa Ulaya kujulikana leo kwenye fainali ya UEFA

    Habari za weekend wadau wa soka na wapenzi wa kandanda barani Africa na Tanzania kwa ujumla nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania:– Leo majira ya saa 4–usiku watakutana muamba ya ulaya kwenye UEFA champions league ambapo Real Madrid atatoana jasho na Borussia Dortmund katika...
Back
Top Bottom