fadhili maganya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Mwenyekiti Jumuiya wazazi CCM Taifa: Veta ni suluhu shida za Gen Z

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Fadhili Maganya, amesema mafunzo yanayotolewa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ni suluhu muhimu katika kukabiliana na changamoto ya ajira kwa vijana nchini, hususan kizazi cha Gen-Z. ‎ ‎Maganya ametoa kauli...
  2. R

    PostGE2025 Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM, Fadhili Maganya: Rais Samia kutoa Msamaha sio uoga

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa (CCM), Fadhil Maganya amesema kilichotokea Oktoba 29 wakati wa uchaguzi kwa baadhi ya vijana kufanya vurugu katika maeneo mbalimbali ya nchi, hakikuwahi kutokea, hivyo Rais Samia kutoa msamaha kwa baadhi ya vijana waliofanya vurugu hizo kwa kufuata mkumbo...
  3. R

    GE2025 Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa: Jamii imeanza kumuona Askofu Gwajima kama Mpuuzi Fulani

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Fadhili Maganya akiwa katika Kipindi cha mahojiano cha Medani za Siasa akijibu swali la Mwandishi wa Habari Edwin Odemba ikimtaka atoe maoni yake kuhusiana na Hoja na kauli za aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat...
  4. Mindyou

    PreGE2025 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Fadhili Maganya: CCM imejiandaa kwa Uchaguzi, No Reform No Election haituhusu

    Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi CCM imesema bila kujali kauli ambazo zinatolewa na vyama vingine, Wao wapo tayari kwa uchaguzi na wamejiandaa vilivyo. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa (CCM) Fadhili Maganya amesema hayo jijini Arusha katika mkutano na waandishi wa habari kuelekea...
  5. L

    Fadhili Maganya: CCM Tutatumia Silaha Nzito Sana Kuushinda Kitakatifu Upinzani. Hatuna Huruma na Mpinzani Dhaifu.

    Ndugu zangu Watanzania, CCM yaendelea kuunguruma maeneo mbalimbali Nchini, CCM yaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, CCM yaendelea kujiweka karibu na watu, CCM yaendelea kutuma ujumbe mzito kwa Upinzani dhaifu na usio na mipango wala mikakati ya ushindi, CCM...
  6. W

    PreGE2025 Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi CCM Fadhili Maganya amesema CCM kimejipanga kupata ushindi wa haki mwaka huu

    HAwa jamaa kumbe huwa wanajua hawashindagi kwa haki bhana eti wanadai mwaka huu watashinda kwa haki. Haki gani sijui wananzungumzia ==== MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, Fadhili Maganya amesema CCM kimejipanga kupata ushindi wa haki katika uchaguzi Mkuu mwaka huu...
  7. Cute Wife

    PreGE2025 Maganya: Mtu hawezi kwenda kumshika mama mkwe sehemu za siri, na sisi hatutakubali mtu ambeze Rais Samia

    Wakuu, Hivi sisiemu mnatuaga wapi watu wajinga hivi? Unakuwa chawa basi angalau usiww chawa mzigo, wapiiiii, aibu tunaona sisi! Msikilizeni Fadhili Maganya (Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi Tanzania) akimwaga madini yake: Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
  8. Heparin

    PreGE2025 Fadhili Maganya: CCM hatuna mpango wa kutoka madarakani, ushindi kwetu ni lazima

    "Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na miaka huko mbele...
Back
Top Bottom