Export Import Bank of Bangladesh PLC. commonly known as EXIM Bank is one of the private commercial banks in Bangladesh. The Bank came into operation as a commercial bank on 3 August 1999 as per rules and regulations of Bangladesh Bank. From its establishment the bank was known as BEXIM Bank Limited. But due to legal constraints, the bank was renamed as EXIM Bank, which stood for Export Import Bank of Bangladesh Limited.
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Shani Kinswaga, akipokea moja ya tuzo mbili kutoka kwa Makamu wa Rais Mwandamizi – Meneja wa Nchi, Afrika Mashariki na Visiwa vya Bahari ya Hindi wa Mastercard, Shehryar Ali (wa pili kushoto), wakati wa ziara ya Mastercard katika ofisi za Benki...
Mkuu wa Mtandao wa Wateja wa benki ya Exim Tanzania, Agnes Kaganda (kati) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Kopa KiBoss na Wafanyakazi Loan’ ambapo inakuwa benki ya kwanza nchini kumwezesha mtumishi wa umma kufanya marejesho kwa muda wa miaka 11 ambapo anaweza kuchukua kiasi cha...
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Stanley Kafu (kushoto), Afisa Masoko Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Irene Mbonde, na Mkurugenzi wa hospitali ya JKCI-Dar Group, Dk. Tulizo Shem wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa zoezi la kufanya vipimo vya moyo na...
Habari za Kwenu Wadau!
Nimeleta huu uzi kutoa uzoefu wangu na huduma za kibenki za Exim Bank. Exim Bank ukienda kwenye Branch zao wanahuduma nzuri na haraka tu unaondoka lakini kwenye application yao daah aisee ..
Terrible and poor simbanking services. Nimeitumia kwa muda miezi sita kwa kweli...
Kwanza niwapongeze Kwa huduma zenu nzuri !!! Kwahilo mko viruzi namaanisha Hamna makato ya ajabu ajabu kama baadhi ya bank nyingine hapa inchi !!your good guys kwahilo!!! Tatizo lipo kwenye mobile App yenu!! .Nashida nimoja TU!!!
Mnataka Kila mwezi mteja wenu abadili nywira yani password Kwa...
Job Description
The purpose of this role is to offer personalized financial solutions and deliver exceptional service to high-net-worth clients. This includes addressing their unique financial needs, fostering long-term relationships, and enhancing customer satisfaction to drive business...
21 Februari 2025, Zanzibar – Benki ya Exim imeingia mkataba wa miaka mitatu na Chama cha Wawekezaji wa Utalii Zanzibar (ZATI) kwa lengo la kukuza na kuinua sekta ya utalii Zanzibar. Mkataba huo ulisainiwa na Mkuu wa Kitengo cha Fedha kutoka benki ya Exim, Shani Kinswaga pamoja na Mwenyekiti wa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (katikati), akizungumza na wanahabari wakati wa kutangaza Ripoti ya Fedha ya 2024 ya benki hiyo, ikionesha mafanikio makubwa ya kifedha na ukuaji endelevu. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Rejareja, Andrew Lyimo, na Afisa Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.