Esther Matiko (born November 24, 1976) is a Tanzanian politician belonging to the opposition Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) party. She is a Member of Parliament for Tarime Urban.
Mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Esther Matiko, amesema hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu sekta ya usafirishaji imebeba dira ya mapinduzi makubwa yatakayochochea kwa kiasi kikubwa ukuaji wa uchumi wa Tanzania.
Amesema maboresho yanayoendelea katika Bandari...
Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko alipata nafasi ya kumuuliza swali Mgombea nafasi ya Uspika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Anitha Alfan Mgaya kutoka chama cha National League for Democracy (NLD) ataje aina ya makundi manne ya wabunge wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania lakini...
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko amesema mpango wa kuingia Chama Cha Mapinduzi(CCM)alikuwa nao muda mrefu tangu wa wakati wa Serikali ya awamu ya Nne ya Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho kikwete
Matiko ameyasema hayo Musoma Mjini Mkoani Mara wakati akihojiwa na Wasafi Media...
Baada ya jitihada za CCM Taifa kumbembeleza Ndugu Jackson Kangoye ajitoe kugombea Ubunge Tarime ili kumrahisishia Esther Matiko kushindikana, Tume ya Uchaguzi isiyo huru imeamua kumeungua mgombea huyo.
Esther alimuwekea pingamizi ambalo lilitupiliwa mbali. Na akakata rufaa.
Lakini rufaa ya...
Juhudi kubwa zimefanyika ili wananchi na wana CCM Tarime kumkubali Esther Matiko lakini zimeshindikana.
Vilanza vitisho toka kwa Mkuu wa Wilaya dhidi ya watu walioandamana kupinga uteuzi wa Esther Matiko ambayo sio chaguo la wana CCM Tarime mjini.
Baadae kikaitwa kikao cha maridhiano kati ya...
Na Brighton Masalu
MGOMBEA ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko ameonesha dira thabiti ya maendeleo na kufufua matumaini kwa wananchi wa jimbo hilo.
Akizungumza na halaiki ya wananchi waliohudhuria kwa wingi mkutano wa kampeni za mgombea...
Mgombea Ubunge jimbo la Tarime mjini kupitia ACT-Wazalendo amemuwekea pingamizi Mgombea wa CCM, Esther Nicholas Matiko pingamizi zito sana.
Pingamizi hili kungekuwa na utawala wa sheria Hakika Esther Matiko angeondolewa kuwa mgombea na angeshitakiwa kwa ubadhirifu wa mali za Umma.
Soma Pia...
Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko amemuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Act-Wazalendo Ndugu Jackson Ryoba Kangoye.
Ikumbukwe katika kura za maoni kugombea Ubunge ndani ya CCM mwaka 2020 Jackson alikuwa mshindi namba...
Mtiania wa ubunge wa Tarime Mjini, Mkoa wa Mara, Esther Matiko akijitambulisha kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana Ijumaa, Agosti 1, 2025 kabla ya kura za maoni.
Matiko amewahi kuwa mbunge wa Viti Maalumu na mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chadema. Kwa sasa anawania breathe hiyo mdani...
Waliokuwa wanachama wa CHADEMA na kisha kuhamia CCM Esther Bulaya na Esther ni miongoni mwa wagombea Ubunge kwenye mchujo wa kwanza Kupitia Chama cha Mapinduzi baada ya kutangazwa leo na CPA Amos Makalla Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama cha Mapinduzi
Esther Matiko ni miongoni mwa...
Nimesikitika sana leo kupata taarifa za kadi ya uanachama ya Esther Matiko aliyopokea mwaka 2022.
Tukumbuke mwaka huu Esther na wenzake 18 walikuwa mahakamani kupambania uanachama wao wa Chadema.
Huku wanakula kiapo mahakamani kama wanachama wa Chadema kumbe mfukoni wana kadi za CCM.
Esther...
Kwa yanayofanyika ndani ya nchi kwa sahivi ni aibu sana
Copy and paste
CCM WAMWANIKA MATIKO Nimesogezewa na mwanaCCM ambaye kachoka kuliko sisi Kaona isiwe shida katoa anachodai ni ushahidi wa usajili wa Esther MatikoDuh! Kumbe Matiko yuko Bungeni kwa kinga ya Tulia Ackson na Mahakama kama...
Aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Esther Matiko Jumapili Juni 29, 2025 ametangaza nia ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Tarime Mjini kupitia chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Akizungumza na wanahabari, Matiko kando ya kuwashukuru Watanzania kwa...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadaye Mbunge wa Viti Maalum Esther Nichoulas Matiko amethibitisha kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na anatarajiwa kuchukua fomu ya kukiomba chama chake hicho kipya kumpa ridhaa kuwania Ubunge wa...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.
Esther anakumbana upinzani mkubwa...
"...Ligi yetu inaelekea mwisho lakini kumekuwa na mvutano wa hizi timu mbili na Viongozi wa TFF, ipi kauli ya Serikali...." Mbunge wa Makete - Festo Sanga.
Askari polisi abakufanyia udhalilishaji hadharani na bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana. Kwa wenzetu hiyo ni kesi kubwa kama mhusika akivalia njuga na anaungwa mkono na mamlaka. Ila wewe sasa.
Hii video watakuja kuiona wanao wakiwa watu wazima kisha wataangalia ulizungimza nini!
"Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko...
My Take
1.Huu ni ujumbe Kwa vibaraka.
2.Ujumbe Kwa mabwana zao
3.Ujumbe Kwa wale Qanaolazimisha Kibaraka Atolewe Jela licha ya Kutoa Kauli za Uasi.
4.Ujumbe Kwa kina Gwajima & Wanaharaki wengine .
Rais apunguze uungwana wanataka kumzoea vibaya.
Pia hapa kuna vita za mfumo dume,dini nk so...
Wakuu,
Naibu spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu leo bungeni amemtaka Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko kufuata taratibu za bunge ikiwa ana tatizo lolote na yeye baada ya tofauti kutokea kati yao wakati bunge likiendelea.
Pia soma: Pre GE2025 - Uzi Maalum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.