esther malleko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Esther Malleko Ajikita Kuinua Uchumi wa Wanawake Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro

    ESTHER MALLEKO AJIKITA KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA ZA MKOA WA KILIMANJARO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko tarehe 27 Aprili, 2025 amefanya ziara, pamoja na mambo mengine amekabidhi picha za Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Esther Malleko Agawa Incubators Kata Zote za Wilaya ya Rombo

    MBUNGE ESTHER MALLEKO AGAWA INCUBATOR KATA ZOTE ZA WILAYA YA ROMBO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko ametembelea Wilaya ya Rombo na kuzungumza na wanawake wa UWT huku akiwakabidhi Mashine za Kutotolesha vifaranga vya kuku (Incubator) kwa lengo la kuwaepusha...
  3. Stephano Mgendanyi

    Esther Malleko Akabidhi Mashine za Kutotolesha Vifaranga vya Kuku Zenye Thamani ya Tsh. Milioni 84.5

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro (CCM), Mhe. Esther Malleko, ametimiza ahadi yake kwa wanawake wa mkoa huo kwa kuwakabidhi jumla ya mashine 169 za kutotolesha vifaranga vya kuku (incubators), zenye thamani ya shilingi milioni 84.5 kwa Kata zote 169 za Mkoa wa Kilimanjaro. Katika hafla...
  4. Pfizer

    PreGE2025 Kilimanjaro: Mbunge Esther Malleko atekeleza ahadi yake, akabidhi Mashine za kutotolesha vifaranga vya kuku

    *UKOMBOZI WA KIUCHUMI NA AFYA MKOA WA KILIMANJARO * Mbunge Esther Malleko atekeleza ahadi yake,akabidhi Mashine za kutotolesha vifaranga vya kuku UWT Mkoa wa Kilimanjaro. Na Mwandishi wetu. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Esther Malleko, ametimiza...
  5. Stephano Mgendanyi

    Esther Malleko Aiomba Serikali Kuendelea Kuboresha Bajeti za TAWA, NCAA na TANAPA

    Serikali itaendelea kuboresha bajeti ya Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori(TAWA), Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kutegemeana na hali ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali ili kuimarisha shughuli za ulinzi na kuboresha miundombinu ya utalii. Haya...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Esther Malleko Aongoza Wanawake 300 Kujiunga UWT Wilaya ya Moshi

    MBUNGE ESTHER MALLEKO AONGOZA WANAWAKE 300 KUJIUNGA UWT WILAYA YA MOSHI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko amefanya Mkutano katika Kata ya Kahe Mashariki, Moshi Vijijini kwaajili ya kusikiliza kero zinazowakabili wananchi na kuzipatia ufumbuzi Katika Mkutano...
Back
Top Bottom