ernest mgawe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nipe Maji

    SI KWELI Ernest Mgawe amesema alitumwa na Heche na Mange kuratibu vurugu mwendokasi

  2. Just Pray

    CHADEMA yataka kada wake kuachiwa huru au kufikishwa mahakamani

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetaka kuachiwa huru au kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Wilaya ya Kibamba, Ernest Mgawe ambaye kimedai anashikiliwa na Jeshi la Polisi nchini. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo, chama hicho kimeeleza kuwa awali...
  3. R

    GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Kibamba, Ernest Mgawe akamatwa kwa tuhuma za kuhamasisha Maandamano na Fujo Vituo vya Mwendokasi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kibamba, Dar es Salaam Ernest Mgawe anashikiliwa na Jeshi la Polisi ikielezwa kuwa anatuhumiwa kutenda makosa mawili (2) ambayo ni kuhamasisha maandamano, na kuhamasisha watu kufanya fujo kwenye vituo na magari ya mwendokasi...
Back
Top Bottom