eric shigongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Eric Shigongo kwa wananchi: Niliwaahidi Tshirt, nimeleta sijaleta?

    Wakuu, Yaani hawa wananchi wa Buchosa akili zao zinatakiwa kupigwa window kabisa, maana ni aibu sana kuambiwa maneno kama hayo na Mbunge alafu ukakaa chini ukasikiliza. Uko Marekani watu wapo busy kuwaahidi wananchi mambo ya Space Force na kwenda Mars, Mbunge anajitokeza anawaahidi wananchi...
  2. GE2025 Eric Shigongo achukua fomu ya ubunge jimbo la Buchosa 28 June, 2025

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shingongo amesema baada ya bunge kuvunja tarehe 27 June mwaka huu basi yeye tarehe 28 June, 2025 ataenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Buchosa kwa mara nyingine tena. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  3. PreGE2025 Eric Shigongo: Nimekuja na mpango wa madarasa janja kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi wa Buchosa kufaulu masomo ya sayansi

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema amekuja na mpango wa smart classes (madarasa janja) kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi wa Buchosa kufaulu masomo yao hasa ya Sayansi na kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  4. R

    PreGE2025 Eric Shigongo: Rais Samia kutoa Billioni 8 kujenga kivuko kipya na kuongezeka kwa vivuko vinne Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameishukuru Serikali kwa kutoa vivuko vinne vitakavyotoa huduma za usafiri kwa wananchi wa Buchosa Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akizungumza na wananchi wa kata nne zinazounda Kisiwa cha Kome, kilichopo katika Jimbo la Buchosa Shigongo ametaja vivuko hivyo kuwa...
  5. R

    PreGE2025 Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo ameanza rasmi Kampeni ya `Buchosa inaongea katika Kata ya Nyehunge

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameanza rasmi kampeni ya kufungua barabara za mitaa kwa mtindo wa kitongoji kwa kitongoji, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha miundombinu na kurahisisha usafiri kwa wananchi wa Buchosa Zoezi hilo limeanza katika Kata ya Nyehunge, likitekelezwa na mitambo...
  6. PreGE2025 Shigongo, atimiza ahadi yake ya kufunga taa za barabarani katika kata 6 jimbo kwake Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametimiza ahadi yake ya kufunga taa za barabarani, hatua itakayowasaidia wananchi kuendesha shughuli za kiuchumi na kibiashara hata nyakati za usiku. Ufungaji wa taa hizo kwa sasa unaendelea katika kata za Lugata, Bulyaheke, Katwe, Bangwe, Kafunzo na Nyehunge...
  7. PreGE2025 Meneja wa TARURA - Sengerema ampongeza Eric Shigongo kwa kupeleka mitambo maalum ya uchimbaji wa barabara Buchosa

    Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Francis Prosper, amempongeza Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, kwa hatua yake ya kupeleka mitambo maalum ya uchimbaji wa barabara katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo, akiahidi ushirikiano...
  8. PreGE2025 Eric Shigongo ajitolea Mitambo kuboresha barabara Buchosa

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amepeleka mitambo maalum kwa ajili ya kuchimba na kufungua barabara zote za mitaa ambazo hazijawahi kupitika kwa urahisi, katika hatua ya kuboresha maisha ya wananchi na kurahisisha shughuli za kila siku za kiuchumi na kijamii. Akizungumzia mitambo...
  9. PreGE2025 Elimu ya Shigongo inatia mashaka. Aliyeelewa kipengele hiki kwenye elimu ya Mbunge Eric Shigongo naomba anieleweshe!

    Wakuu, Nilikuwa napitia CVs za wabunge leo. Kuna kitu kimenishangaza sana kuhusu huyu Mbunge wa Eric Shigongo. According to his CV huyu mwamba alisoma Gedeli Primary School kuanzia 1977 had 1983. Alafu kuanzia 1983 hakuna sehemu inaonesha kama alienda Form 4 na Form 6 au kwenda Certificate...
  10. PreGE2025 Eric Shigongo: Mama Samia amekubali kutoa milioni 40 kujenga mradi wa maji Nyehunge

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema mtu yeyote asiwagombanishe wananchi kwa sababu wakigawanyika hakuna maendeleo yanayoweza kufanikiwa. Shigongo amesema atatangulia mbele ya wananchi waliomchagua na kwamba kama ni kuumia, yupo tayari kuumia kwanza kabla ya wananchi wake wa Buchosa...
  11. W

    PreGE2025 Geita: Wananchi 38 waikacha CHADEMA na kujiunga CCM

    Wanachama 38 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Buchosa, wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM. Miongoni mwao yupo aliyekuwa katibu mwenezi wa chama hicho katika Jimbo la Buchosa, Ovu Malagila ambaye ameeleza sababu za kukihama Chadema na kummwagia sifa Rais...
  12. PreGE2025 Eric Shigongo: Siwezi nikajivuna kwamba nimejenga shule, ni Rais Samia ametekeleza

    Mbunge wa jimbo la Buchosa Anasema yeye hawezi kujivuna kwamba amejenga shule kwa sababu hana fedha za kutoka mfukoni kwake za kujenga shule bali fedha zimepelekwa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na yeye ndiye anayestahili kusifiwa. Pia soma: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
  13. PreGE2025 Buchosa: Shigongo aahidi kuwasilisha bungeni ombi la wananchi kupunguza gharama za kuvuta maji ili serikali ichukue hatua

    Licha ya serikali kuboresha huduma ya maji safi hadi vijijini, wananchi wa Buchosa wameiomba serikali kupunguza gharama ya kuunganishiwa maji majumbani, wakisema kuwa ni kubwa na imekuwa kikwazo kwa wengi kumudu huduma hiyo muhimu. Malalamiko hayo yaliibuka wakati wa mkutano wa hadhara...
  14. PreGE2025 Mbunge Eric Shigongo aongoza maandamano ya Amani kumpongeza Rais Samia kwa Utekelezaji wa Ilani ya CCM

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameongoza maandamano ya amani kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyotekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  15. PreGE2025 Mbunge Eric Shigongo aahidi Milioni 5 kwa ukarabati wa Kanisa Kome

    Mbunge wa Buchosha Mhe. Eric Shigongo ameahidi kutoa kiasi cha Tsh. Milioni 5 kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri...
  16. PreGE2025 Mbunge Eric Shigongo atoa zaidi ya tani mbili za sukari kwenye misikiti iliyopo katika Jimbo la Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametoa zaidi ya tani mbili za sukari kwenye misikiti iliyopo katika Jimbo la Buchosa ikiwa ni sehemu ya sadaka kwa waumini wa dini ya Kiislamu wanaoendelea na mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Sukari hiyo imegawanywa na Katibu wa Mbunge, Julias Butogwa...
  17. PreGE2025 Eric Shigongo: Rais Samia amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaambia wananchi wa Buchosa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  18. Eric Shigongo: Nilipata kusafiri nchi tofauti, wana hali mbaya sisi tuna nafuu uchumi unakua

    Wakuu Serikali imemaliza tatizo la maji katika Kijiji cha Buswelu, Kata ya Nyanzande, Jimbo la Buchosa, kwa kujenga kisima kirefu kinachotumia nishati ya jua kusambaza maji kwa wananchi. Ahadi ya kutatua changamoto hiyo ilikuwa miongoni mwa ahadi za Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, kwa...
  19. PreGE2025 Eric Shigongo atoa mitaji kwa akina Mama wa Jimbo la Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameendelea na zoezi la kutoa mitaji kwa akina mama wa Jimbo la Buchosa, ambapo leo alitoa shilingi milioni 2 kwa akina mama wa Kata ya Kalebezo. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  20. PreGE2025 Eric Shigongo: Miaka mitatu ya Rais Samia Buchosa imeendelea sana

    "Ninayo kila sababu ya kuishukuru serikali kwa namna inavyowatumikia wananchi wake. Ndani ya miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jimbo la Buchosa peke yake mimi kama mbunge nimepokea bilioni 63 za maendeleo, tumejenga barabara, tumejenga vituo vya afya vitano tumejenga sekondari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…