eng. hersi said

Eng. Mohamed Isse Ali (Somali: Maxamed Ciise Cali, Arabic: محمد عيسى علي‎) (born in 1956), also known as Col. Mohamed Isse Ganaje, is a Somali engineer, Navy commander, and politician. Lacle has extensive experience in naval warfare, electricity and mechanics, politics and diplomacy. He has taught subjects in naval warfare and engineering in the Technical Maritime Intermediate School of the National Somali Navy and served as director from 1981 to 1982. He served in the Somali Navy from 1975 to 1991 and held several commanding positions at his time before the Somali Civil War broke. He holds the rank of naval captain. He currently resides in Garoe, the capital of Puntland.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Natafuta kazi ya udereva. Nina uzoefu kusafiri masafa marefu zaidi ya miaka mitano

    Ndgu wapendwa Ninaombi kwenu la kazi ya udereva katika kampuni,mtu binafsi, taasisi. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka (05) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja uzoefu wa kusafiri masafa malefu katika mikoa mingi...
  2. Rais wa Yanga Eng. Hersi: Kama kuna jambo silipendi ni kuifunga Simba

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said, amesema "Kama kuna jambo silipendi, ni kutoa furaha za watu. Najua kuna ndugu zangu ambao ni Simba na mimi ni Yanga. Bahati mbaya taasisi ambayo naishughulikia ni taasisi inayotaka matokeo, na kwa sababu ya ‘nature’ ya taasisi unalazimika kutafuta matokeo...
  3. Eng. Hersi Said ni Tumaini Jipya la Kuinua Mpira Wetu Kitaifa

    Katika tasnia ya michezo nchini Tanzania, jina la Eng. Hersi Said limeendelea kung’ara kama mfano wa uongozi bora, ubunifu, na maendeleo ya kweli. Kupitia nafasi yake kama Rais wa Klabu ya Yanga SC na Mwenyekiti wa African Club Association (ACA), Eng. Hersi ameonesha dira ya kisasa ya kusimamia...
  4. PreGE2025 Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said: Ukifika wakati sahihi wa kutangaza nia basi nitatangaza

    Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said, amesema kuwa suala la kutangaza nia ya kugombea litategemea muda sahihi, na kwamba atatoa uamuzi huo pale utakapowadia. "Ukifika wakati sahihi wa kutangaza nia basi nitatangaza," amesema Eng. Hersi, huku akijibu maswali na Kituo cha Redio EFM kuhusu hatma...
  5. PreGE2025 Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said aboresha taarifa zake za Mpiga Kura Kigamboni

    Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ameungana na Watanzania wengine katika zoezi la kuboresha taarifa za Mpiga Kura kwa mwaka 2025, ambapo leo ameboresha taarifa zake katika shule ya Amani Gomvu, iliyopo Mtaa wa Minondo, Kata ya Somangila, wilayani Kigamboni. Kupitia ukurasa wake wa...
  6. PreGE2025 Rais wa Yanga Hersi Said aahidi Milioni 5 kusaidia ukarabati wa kanisa Geita

    Rais wa Timu ya Yanga Hersi Said ameahidi kutoa kiasi cha Tsh. Milioni 5 kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri...
  7. M

    Pongezi kwa Eng. Hersi kwa kuchaguliwa mjumbe Kamati ya Mashindano CAF!

    Nakupa pongezi kwa sababu huwezi kufikia kumi bila kuanza na moja mwendo wako uko kwenye njia sahihi, na mwelekeo wako ni mzuri! Kuchaguliwa kuwa mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya CAF si jambo dogo; umefanya kazi kubwa na kufanikisha mengi. Nafasi hii inakupa nafasi ya moja kwa moja kushiriki...
  8. L

    Nawapa za ndaaaani kuhusu bifu la Wazee wa Yanga na Injinia Hersi hadi jana kufungwa na Azam

    Yanga wana timu nzuri sana na hata jana tumeona licha ya kuwa wamefungwa wakiwa pungufu lakini Azam waliomba poo, mimi ni mtu wa mpira siongelei mpira kiushabiki ama kutafuta followers, nimekaa kwenye tasnia ya soka la bongo tangu mwaka 1989 nikiwa naingia bure uwanja wa uhuru, enzi hizo Sigara...
  9. Ni wazi Haji Manara na Hersi haziivi tena

    Kuna taarifa kutokea viunga vya corridor za Yanga kuwa Haji Manara na Mhandisi Hersi ambaye ni Rais wa Yanga haziivi. "....hujiulizi kwa nini hata hajaposti picha za Hersi akiwa Ufaransa na boss wa Man City kwenye Mkutano wa ECA? Kwa taarifa yako, Manara amemkasirikia Hersi eti kisa usemaji wa...
  10. Rais wa Yanga Eng. Hersi Said Aalikwa Mkutano wa ECA nchini Ugiriki

    Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, Eng.Hersi Said amealikwa kwenye Mkutano mkubwa wa vilabu Barani Ulaya [ECA], unaofanyika katika Mji wa Athen, Ugiriki. Hersi amepata Mwaliko huu kutoka kwa Mwenyekiti wa ECA na Rais wa PSG, Nasser Al-Khelaifi. Pia, Soma: => CAF Yapendekeza...
  11. Aucho: Nitacheza Yanga SC hadi Rais Hersi atakaposema sipo tena kwenye mpango wa timu

    Kiungo wa Yanga Khalid Aucho akifanya mahojiano na Muandishi wa habari kutoka Uganda hapo jana alipoulizwa kuhusu kuondoka Yanga alijibu kuwa bado yupo Yanga mpaka Siku Injinia na Gsm waseme Aucho sasa basi . "Nashukuru kwa mapenzi ya wananchi na mimi nafurahi sana kucheza Yanga, mimi nipo Yanga...
  12. Hersi Said usirudie kufanya exclusive interview, haupo smart

    Mzee Hassan Dalali nadhani ni darasa la saba B lakini aliongoza Simba kwa ufanisi wa hali ya juu sana na ndio muanzilishi wa Simba Day. Tamasha linalikua na kuigwa na vilabu kila mwaka Nimeanza kumfahamu Dalali miaka ya 1990s akipiga gitaa bendi ya Vijana Jazz, humble guy with sense of humour...
  13. Eng. Hersi Said: Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga

    Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, makamu wa Rais pia, wajumbe wa kamati ya utendaji pia sio wafanyakazi wa Yanga. “Wafanyakazi wa Yanga wanaanzia Level...
  14. U

    Rais wa Yanga aisifia Simba kuwa wana timu nzuri sana na wamefanya uwekezaji mkubwa wa billion 7

    “Simba wana timu nzuri, wameweka uwekezaji mkubwa, tumeambiwa wameweka Bilioni 7 kwenye usajili na kuna maingizo mengine ni uwekezaji mkubwa, tulipocheza nao Mchezaji aliyenivutia ni Balua, amenionyesha kitu kizuri naendelea kumtia moyo aongeze jitihada,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.
  15. Hivi huyu jamaa ni nani? Naona picha yake inatrend!

  16. Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao. Imedaiwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi...
  17. Rais Eng. Hersi Said hili suala la kuweka kiingilio bure linaweza hujuma kubwa sana kwa Yanga. Vinginevyo jambo hili lifanyike

    Taarifa inasema kiingilio kwenye mechi yetu na Mamelody itakuwa bure Mzunguko. Sababu za uongozi zina mashiko pasi na shaka yoyote. Kwanza mechi itachezwa usiku sana halafu pili ni mwezi mtukufu wa Ramadhwani etc. But hatuoni kuwa Simba wanaweza kuingia pia uwanjani kwa wingi yakaja kuwa...
  18. GSM kupitia Rais wa Yanga Eng. Hersi Said mmeiheshimisha sana Yanga kwa msimu huu, ila naona kuna kazi kubwa sana msimu ujao

    Kwasasa kuna watu wanabaki kusonya sonya tu wengine kutoa visababu vya kujifariji, mara mashindano waliofeli, mara ooh Yanga imecheza na vibonde mara zinaletwa historia za miaka 47 huko lakini yote kwa yote msimu huu Yanga mpaka sasa ndio timu pekee iliyopata mafanikio zaidi kwa timu za ukanda...
  19. Eng. Hersi Said angalia upya wanaouza jezi za Yanga

    Inawezekana GSM haioni tatizo kwenye mapato ya jezi lakini wadau wengine wengi wananung'unika sana kutokana na uuzaji wa Jezi. Jezi zinafichwa na kuuzwa kwa bei kubwa kwa mlango wa nyuma hapohapo klabuni.
  20. Kwako Eng. Hersi Said taarifa hii ikufikie kuhusu chawa wako

    Popote ulipo nakupa pole Rais wetu kwa mapambano unayopitia katika kutetea chapa ya Yanga. Kufeli kwetu katika mambo mbalimbali yaihusishayo klabu yetu tatizo kubwa ni hawa machawa wako wanaokuzunguka, mdomo mwingi, sifa kibao utendaji sifuri. Hao wamekuwa wakiangalia matumbo yao tu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…