elimu ya ujasiriamali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    Habari Zenu Jina langu ni Juma Jumanne, KIJANA Mfanyabiashara wa Mazao SINGIDA Nilianzisha Kampuni Yangu (LYANGA FLOUR MILLERS) ya kusindika unga lishe, Sembe na Dona, lakini Biashara ilisimama kwa sababu sikua na Mashine yangu Binafsi na sababu zilizo nje Ya Uwezo Wangu Kwa sasa nina KIWANJA...
  2. Mafyangula

    GE2025 Mwanaisha Mndeme ahidi Mikopo ya 10% na Elimu ya Ujasiriamali kwa Wajasiriamali Wadogo Jimbo la Kigamboni

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Wakili Mwanaisha Mndeme, amefanya kikao cha ndani na wakazi wa Mjimwema ikiwa ni sehemu ya kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2025. Katika kikao hicho, Mndeme alikutana na makundi mbalimbali ya...
  3. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yapongezwa kuwapa elimu ya ujasiriamali wajasiriamali wa mtandaoni

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Albert Chalamila ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kuwaelimisha wajasiriamali wa mtandaoni kuhusu fursa zilizopo na namna wanavyoweza kushirikiana na taasisi hii kubwa zaidi ya fedha nchini kujikwamua kiuchumi. Pongeza hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki...
  4. C

    Yule kijana wa mkopo Milioni 30: Fuatilia nilivyofanya kwenye Mahindi Sasa natafuta masoko ya mazao mengine

    Habarini wadau: Kama ulifatilia thread yangu ya April , Niliomba ushaur wa kuchkua mkopo wa Milion 30 kwajili ya Biashara ya mahindi na mkanipa ushaur mzur na nikatekeleza na wapo walionirudisha nyuma pia ila Nikaona hizi ni changamoto za kawaida. Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30...
  5. KING MIDAS

    Nilimwalika Sheikh aje anifanyie dua mahali pangu pa biashara, wakasema naroga biashara zao. Leo kila mtu anamwaga maji na mafuta kwenye frem

    Nikipomleta Sheikh anifanyie dua kwenye biashara yangu, watu wote wakanichukia na kuanza.kusema Mimi ni mchawi. Kuanzia siku hiyo kila MTU anamwaga maji na mafuta kwenye frem yake kama wamepagawa, wengine wanaongea maneno hayaeleweki, wengine wanaimba, wengine wananong'ona, mie niko zangu...
  6. F

    Wapi naweza kupata mifuko ya kupakia mizigo

    Naomba msaada wa mahali zinapatikana mashine za kutengeneza mifuko ya kupakia mizigo mfano nafaka yenye ujazo wa kuanzia kilo 25 hadi 100. Ahsanteni
  7. ELI COHEN

    Kama ni wewe ni graduate na bado hujapata ajira, basi fanya shughuli zifuatazo

    Kimbia kajifunze ufundi wa ku-design gypsum boards, tv show case outlook, outlook ya kisasa ya maduka na interior design nyingine kwa pamoja. Kimbia kajifunze mji ulivyo, zunguka utafute nyumba, acha vipeperushi vya namba yako kuwa wewe ni dalali, kaa kitaa na wana upate dili za viwanja na...
  8. Makirita Amani

    Elimu hii muhimu sana hukufundishwa shuleni, ipate hapa

    Rafiki yangu mpendwa, Kwa miaka yoyote ambayo ulikaa shuleni, ulifundishwa mambo mengi sana. Lakini kuna elimu moja muhimu sana ambayo hukufundishwa na ndiyo inayokutesa mpaka leo. Ulifundishwa historia za mambo ya kale, jografia ya maeneo mbalimbali, sayansi ya viumbe wote na hisabati za...
Back
Top Bottom