Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, hususan Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, imekuwa ikihesabu somo la Elimu ya Dini ya Kiislamu (EDK) katika wastani wa ufaulu kwa wanafunzi wote, wakiwemo wanafunzi Wakristo, kwenye upimaji wa darasa la saba licha ya ukweli kwamba wanafunzi hao hawafanyi...
Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?"
"Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu) hapa...
Unaweza jiuliza, TEC mbona hawajazungumzia Udini wa MTU, TEC na Maaskofu na Manabii wengineo , wao wanataja neno "HAKI HAKI HAKI".
Ila Hawa wenye kuponda Elimu Dunia , huku vichwan wamejaza Elimu Dini, kwenye kujibu utawasikia majibu Yao ni mawili tu
👉Kwakua Rais ni Muislam
👉 Angekua Mkristo...
Mwalimu Kisogi wa shule ya Sekondari Mwilibona awapiga wanafunzi wake 2 na kuvimba mikono na damu kumwagika kisa wamechelewa kufika shule.
Wanafunzi wao wamesema walikuwa wanakwenda kusaini ofisini kwake kwa sababu walikuwa wanakosa shule. Kwahiyo walitakiwa kila siku wasaini saa moja na nusu...
Mara nyingi sana waswahili huwa wanazungumzia mtu kupata elimu ya dini lakini kiuhalisia huwa wanamaanisha ni mafunzo/maelekezo ya dini ya mtu husika.
Elimu ya dini au kwa Kingereza "religious education/studies" ni ile elimu ya darasani mtu anayosemea kuhusu dini husika au dini mbalimbali akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.