Leo nilipita chuo kimoja mjini kumpitia mdogo wangu twende Kilimanjaro kula sikukuu.
Wakati nimepaki viunga vya chuo akaja na wenzake Kama watatu hivi kumbe walikuwa wanamalizia ku discuss naswali ya fulani hivi
Nikaanza kuwasikiliza kwa makini wakibishana nikakumbuka kabisa hii mada nilisoma...
Nikiangalia Transcript yangu iliyojaa lundo la masomo niliyosoma nikilinganisha na kazi nayofanya, naona masomo mengi yalikuwa hayana umuhimu wowote ule.
Ni masomo machache sana utayoyatumia practically kazini.
masomo mengi ilibidi yawe kwenye kozi nyingine ila yamerundikwa ilimradi tu, masomo...
Ukweli mchungu!
Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko.
Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa.
Wakirudi majumbani...
WASOMI ni watu walio sitarabika WASOMI awa andiki andiki upuuzi
Mkono wa mjinga unaandika popote pale ndo walivo wasomi wa bongo mumekosa kazi basi kazi kuwa kucoment ujinga ujinga tu kwenye thead za watu wewe Kama unaona mtu kaandika ujinga wake soma Maliza pita kushoto muache aliye andika...
Nia yangu kubwa ni kwenda kusoma MASTERS nje kwa njia yeyote ile ambayo haihusishi matumizi ya njia haramu yoyote, Sasa nimeongea na wazazi wamekubali kuweka nyumba dhamana nipate mkopo bank wa milioni 6 kama kigezo moja wapo kupata VISA ya kuingia baadhi ya nchi kama umepata partial...
Habari za muda wanaJF,
Mimi ni kijana nimemaliza form six mwaka huu 2024, matokeo yangu kiufupi yalikua kama ufuatavyo.
Chemistry - E
Bio - E
Geography - D
BAM - E
G.S - D
Sema kweli matokeo yangu hayakua mazuri kwa ujumla.
Bila kusita nilifanya application za vyuo kwa level mbili zote...
Wakuu habarini za jioni, poleni na hekaheka na mihangaiko ya siku..
Samahani naomba wajuzi mniambie je inawezekana kwa mtu aliechaguliwa chuo mfano amechaguliwa TIA campus ya Dar es salaam akataka kuhamia TIA campus ya mbeya?
na kama inawezekana anatakiwa kufuata utaratibu upi?
1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi.
2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.
3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.
4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.