edward mpogolo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    DC Mpogolo: Bodaboda na Machinga undeni Timu Maalum kuzunguka vijiwe vyenu kutoa elimu ya kudumisha amani

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka viongozi wa Maafisa Usafirishaji na Wamachinga kuunda timu maalum itakayozunguka katika vijiwe vya bodaboda na maeneo ya wafanyabiashara kutoa elimu juu ya umuhimu wa kudumisha amani. Hayo ameyabainisha leo katika kongamano la Maafisa...
  2. Waufukweni

    PostGE2025 DC Mpogolo: Wamekuja watu wa hovyo, wakatumia bodaboda kuhalalisha haramu yao — lindeni amani

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka viongozi wa Maafisa Usafirishaji na Wamachinga kuunda timu maalum itakayozunguka katika vijiwe vya bodaboda na maeneo ya wafanyabiashara kutoa elimu juu ya umuhimu wa kudumisha amani. Hayo ameyabainisha leo katika kongamano la Maafisa...
  3. R

    GE2025 Mkuu wa Wilaya Ilala: Mnapata Mikopo bila riba, muwe mabalozi wa Rais Samia msiwasikilize wanaoleta chokochoko na vurugu mtandaoni

    "Nendeni mkawaambie kwamba ni nchi gani duniani inawapa watu wake mikopo isiyo na riba?. Wakaangalie, mara nyingi wanapenda ku- google vitu ambavyo vinavunja amani, wa- Google sasa vitu ambavyo vinajenga amani yetu"- amesema Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo Octoba 4, 2025 Mkuu wa wilaya...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mkuu wa Wilaya ya Ilala: Kiongozi wa serikali, unasimamia utekelezaji wa ilani ya CCM

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani humo, Edward Mpogolo, amesema kiongozi wa serikali hawezi kutenganishwa na utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa ndiyo msingi wa kazi alizopewa kusimamia. “Wewe ni kiongozi wa serikali, unasimamia...
Back
Top Bottom