duka la vipodozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Milioni 2 zinatosha kufungua Duka la vipodozi na urembo?

    Wakuu samahani et mtaji wa milioni 2 unaweza kutosha kufungua duka la vipodozi? Je, biashara hii ikoje kwa upande wa Dodoma? Naombeni msaada wakuu mwenye uelewa na biashala hii Pia soma: Ijue biashara ya vipodozi (cosmetics business) Tanzania
  2. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Leseni ya Duka la Vipodozi

    Kufungua duka la vipodozi ni fursa nzuri ya biashara, hasa kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa za urembo. Hata hivyo, kabla ya kuanza kuuza, unatakiwa kuwa na leseni ya biashara. Leseni hii ndiyo itakayo kuthibitishia kisheria kuwa unaruhusiwa kufanya biashara na pia inaleta uaminifu...
  3. Cenilah laprincesser

    JamiiForums Tanzania Laki nne inatosha kufungua duka la vipodozi?

    Msaada wa mawazo Niko na laki nne nataka kufanya biashara ya kufungua duka la cosmet. Je, naweza kufungua? Kam haiwezekani ni biashara gani naeza kufanya kwa huo mtajiii ...........? Nipo Mwanza
Back
Top Bottom