Tunauza vifaa vya slot machine kwa majina tuliyozoea kama madubwi au Bonanza ghalama zinaania 1.5- 2.7m
Contact 0745266680
Dar es salaam na tunatuma Tanzania mikoanyote pamoja na nchi jirani kama Congo, Zambia, Burundi, Malawi, Angola na Uganda
Habari wakubwa....
Leo nimeona niwashirikishe juu ya wazo langu hili la kutengeneza madubwi(slot mashine) na kuyauza
Game za dubwi huwa naweza kuzitengenza kuanzia mwanzo mpk mwisho (proggramminging,assembling mpk finishing) mpaka sasa nimepata oda nne na zote nimezitengenezea bila ya...
Kuna watu wanaliwa kwenye dubwi mpaka wanachanganyikiwa.
Nishashushudia jamaa ameliwa laki 2 ya mtaji wa biashara ya mke wake kwenye dubwi.
Mkewe alimtuma akamnunulie vifaa vya kupikia vitafunwa kwa ajili ya biashara na ndo pesa pekee waliyokuwa nayo.
Jamaa kapita karibu na dubwi akapata...
Tumia hizi mbinu kulila DUBWI kirahisi
Unapotaka kucheza mara ya kwanza ,anza kuweka coin Moja ili ujue anaenda kuangukia mnyama gani hii itakusaidia kwa sababu wanyama mara nyingi wanajirudia
Mchezo wa pili unaofuata weka coin tatu Moja mnyama aliyepita mbili wanyama wawili wapya nenda na...