dr nchimbi

Hamisi Andrea Kigwangalla (born 7 August 1975) is a Tanzanian politician for the Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and Member of Parliament for the Nzega constituency since 2010. After 2015, the Nzega constituency was split, and as a result, he took over as a member of parliament for the newly formed Nzega Rural following the 2015 general elections.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    Pongezi Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi Kumeza Kidonge Kichungu cha Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi kwa Viongozi Wabwatukaji wa Mambo ya October 29!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti za Mwananchi la leo. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/hongera-dk-nchimbi-kwa-kumeza-kidonge-kichungu-cha-tls-5354880 Hii ni makala ya pongezi kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kwa...
  2. dorge

    Nimekuwa na Imani sana na Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Emmanuel

    Kama utakumbuka alikataa wazi wazi jambo fulani Inakuwaje kwenye hili amekaa kimya, sijui misimamo yake Watu bwana dah!
  3. Mudawote

    Dr Nchimbi hongera kwa kuvumilia!

    GTs, Nimpongeze kwa dhati kabisa toka Moyoni Dkt Nchimbi kwa uvumilivu wake. Hakika huo moyo Dkt Mpango hana kabisa. Ila pia pole sana kwa wananzuoni kutoka Chuo Kikuu Mzumbe na IDM, maana ndiyo Chuo kimetoa rais wa kwanza ila ndiyo hivyo haelewi kabisa kinachoendelea na vilio vinavyoendelea...
  4. Sifi Leo

    GE2025 Raisi Samia na Dr Nchimbi ni wagombea wa CCM ambao hawajawahi chukua fomu za kugombea urais za chama

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana, ni watanzania TU tunapuuzia kila kitu paspo na sababu. Samia ni lini alichukua fomu kuomba ridhaa ya chama kimteue kugombea uraisi wa Tanzania? Kwenye mafaili ya maraisi wagombea kwa CCM Mwaka huu mtaweka nyaraka Gani? Je ni sehemu gan ya katiba yenu inasema...
  5. Mr Beast

    Tetesi: PICHA: Huyu Kumrithi Dkt Emmanuel Nchimbi Ukatibu Mkuu wakati wowote

    || Habari zilizozagaa huku mtaani kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Viongozi wa CCM Tanzania ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka kutoka Upande wowote wa Muungano baada ya kazi nzuri ya Dkt Emmanuel Nchimbi ni lazima awe na sifa hizi zifuatazo au...
  6. J

    Dr Nchimbi atakuwa Mwenyekiti mstaafu wa UVCCM kuwa Makamu wa Rais wa JMT

    Dr Nchimbi Amekuwa Mwenyekiti wa UVCCM, DC, Mbunge, Waziri, Balozi, Katinu mkuu wa CCM na inshara October atakuwa Makamu wa Rais wa JMT Songea hadi Mbambabay mbarikiwe sana kwa hii CV ya kijana wenu Mulibwanji bambo a Songambele? 😁😁
  7. Hamduni

    Dkt. Nchimbi kuanza ziara mkoani Tabora

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili mkoani Tabora kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Tabora, na kupokelewa na wenyeji wake, waliiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ndugu Said Juma Nkumba, Balozi...
  8. safuher

    PreGE2025 Kukimbia kwa Dkt. Nchimbi haikuwa sababu ya vyama vingine kususia mdahalo

    TUFANYE KWAMBA WOTE WALIKUBALI WATASHIRIKI MDAHALO HUU. SWALI Je kulikuwa na makubaliano yoyote kwamba kama hatoshiriki Dr nchimbi basi waliobaki wote wasishiriki ? mjadala huu haukuwekwa maalumu kwa ajili ya Dr nchimbi,bali ni wananchi na makatibu wa vyama. kitendo cha makatibu wakuu...
  9. J

    PreGE2025 Dkt. Nchimbi aonya makundi yanayoanza kuibuka ndani ya CCM

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameagiza viongozi, Wanachama na Jumuiya zote ndani CCM kuvunja makundi yaliyoanza kuripotiwa ndani ya chama hicho. Amewataka kuacha mara moja tabia hiyo kabla ya chama hakijachukua hatua stahiki kwani vitendo hivyo...
  10. J

    RC Makonda: Dr Nchimbi hapa Arusha tunachapa Kazi na wale Wazembe wachache nitaendelea kuwapiga Spana!

    RC Makonda amemkaribisha Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi mkoani Arusha na kumhakikishia makamisaa wanachapa Kazi Aidha Makonda amesema kwa sasa yeye na Waziri Silaa Wanafanya Kazi kubwa ya kutatua migogoro ya Ardhi na kwamba Waziri Silaa anafanya Kazi iliyotukuka Source: Ayo TV ==== Mkuu wa...
Back
Top Bottom