Mweka is a town in southern-central Democratic Republic of the Congo, situated on the Kasai railway line between Kananga (250 km away) and the Kasai River port of Ilebo (172 km away).
Mweka is also the headquarters of the Territoire de Mweka (administrative district which is one of the territories of the Democratic Republic of the Congo ) of the present Kasai Province.
Its cathedral is the episcopal see of the Roman Catholic Diocese of Mweka.
Watu zaidi ya 1,000 wamefariki kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kulingana na takwimu rasmi.
Hali hii inatokea huku wahudumu wa afya wakipambana vikali kudhibiti mlipuko huo katikati ya machafuko ya kundi la wanamgambo, mashambulizi dhidi ya...
Jamuhuri ya Demokrasia Congo imethibitisha mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola kusini mwa mji wa Kasai ambapo hadi sasa kuna wagonjwa 28 wanaoshukiwa kuambukizwa na idadi ya vifo 15. Wizara ya Afya imesema mlipuko huo umeanza mwishoni mwa Agosti 2025 baada ya mwanamke mjamzito kulazwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.