Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo amewasihi Watanzania kufanya uchaguzi kwa amani na kutoshiriki maandamano.
"Nchi inapokuwa na watu welevu, inakuwa na kelele. Rai yangu kwa Watanzania wasithubutu kutoka kuandamana; watachafua nchi."
Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo,alieleza mfumo wa sasa unaotumika kuwapangia wastaafu na watumishi wa umma matumizi ya fedha zao baada ya kustaafu ni dharau na unaowafanyia wastaafu uonevu
Akizungumza Oktoba 22,2025 na wananchi wa Wilaya ya Kigamboni kwenye mkutano wa...
Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema ikiwa wananchi watampa ridhaa ya kuwa rais serikali yake itarejesha reli ya kutoka Masasi (Mtwara) - Dar es Salaam ambayo ilisitisha shughuli zake 1972
Akizungumza Oktoba 21, 2025 katika mkutano wa kampeni na wananchi wa Wilaya ya...
Chama cha NLD kimeahidi kupunguza posho za wabunge na badala yake fedha hizo zitaelekezwa katika kuongeza huduma za afya pamoja na kupandisha mishahara ya kada ya ualimu na askari.
Ahadi hiyo imetolewa na mgombea Urais wa chama hicho Doyo Hassan Doyo wakati akizungumza na wakazi wa Kibamba, Dar...
Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo ameahidi kuwa endapo wananchi watampa ridhaa ya kuongoza Taifa, atapitia upya mikataba ya uwekezaji katika sekta ya madini nchini ili kuhakikisha kila Mtanzania ananufaika na uwepo wa rasilimali za madini.
Amesema mchakato huo utafanyika...
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo ameendelea kujinadi kwa Watanzania akieleza dhamira yake ya kufungua fursa za kibiashara kwa kujenga Reli ya Kisasa (SGR) hadi Kagera pamoja na kununua ndege ya mizigo.
Kwa sasa, reli hiyo ya kisasa imejengwa kutoka Dar es Salaam hadi...
Wanasiasa wanasipidii kweli!
Kwani kuivunja ndio soluhu? Kuliko kuiboresha zaidi na iwe imara na kuleta faida kwa wakulima wa zao hilo na nchi pia katika kuongeza pato
===============
Mgombea Urais wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema chama chake kitaleta mageuzi makubwa kwenye sekta ya...
Mgombea urais kwa tiketi ya NLD, National League for Democracy,Bw. Doyo Hassan amefika Butiama leo.
Alipokelewa na Madaraka Nyerere na Andrew Nyerere.
Ametembelea kaburi,ameonyeshwa residence ya Chief Nyerere Burito.
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Mohammed Doyo amesema kuingia kwake kwenye siasa si kwa sababu ya baba yake kuwa mwanasiasa bali ni maumivu aliyoyapitia akiwa mdogo.
Soma pia: Helbeth Mlelwa anadaiwa kukamatwa na...
Mapokezi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Doyo Hassan Doyo, leo Septemba 4, 2025 alielekea katika Viwanja vya Stendi ya Pangani, jijini Tanga, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa kampeni za chama NLD.
Mgombea Urais kupitia Chama cha National League for Democracy, Doyo Hassan Doyo Akizungumzia Moja ya Sababu Iliyomfanya Agombee Kiti Cha Urais na matarajio yake ni kuiondoa CCM madarakani
Soma Pia: Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama cha (NLD) Doyo amefika kuchukua fomu akiwa na Bajaj
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chama cha National League
, Doyo Hassan Doyo akiwa na msafara wake amefika katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndejengwa Jijini hapa akiwa ndani ya bajaji.
Doyo ametinga katika viunga hivyo leo Jumapili, Agosti 10, 2025 saa 5:29 asubuhi...
Kupitia kipindi cha One on One with Doyo Hassan Doyo, Mgombea Urais wa Tanzania 2025 kupitia chama cha NLD amesema ingawa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri sana katika uongozi wake lakini yeye atagombea Urais dhidi yake kwani ni haki yake kikatiba.
Soma Pia: Hassan Doyo achukua Fomu...
Katibu Mkuu wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiyo katika uchaguzi utakaofanyika baadaye mwaka huu, huku akiahidi kuleta mageuzi katika sekta mbalimbali nchini.
Kupata...
Wakuu,
Vyama vya kusindikiza na kukamilisha ratiba.
Katibu Mkuu wa Chama Cha National League of Democracy (NLD) Doyo Hassan Doyo amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta sera ya 4R ambayo imeleta matumaini kwa vyama vingine vya kisiasa.
Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa...
Doyo Hassan Doyo ambaye alikuwa akiwania nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) amesema amekata rufaa kuping matokeo ya uchaguzi wa nafasi hiyo akidai kuna vitu havikwenda sawa na anataka uchaguzi urudiwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.