dkt. nchimbi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi awakutanisha Paul Makonda na Mrisho Gambo, wapiga picha ya pamoja

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025. Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Kipaumbele kitabaki kuwa maisha bora kwa Watanzania

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, huduma za matibabu zimeimarika kutokana na kuboreshwa kwa hospitali za rufaa za mikoa. Ameongeza kuwa ajenda kuu ya chama hicho ni kuendelea kuboresha huduma za afya kwa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: 4R za Rais Samia zimeaksi tabia ya Baba wa Taifa

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema falsafa ya 4R ya Rais wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeakisi sawa sawa tabia ya Mwalimu Nyerere katika dhamira na namna ya kuliongoza taifa la Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joram Nkumbi ageuka kuwa chawa wa CCM? Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi

    Wakuu huyu Joram Nkumbi ulumbi wa lugha umemshinda sasa amegeukia kuwa chawa wa CCM. Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi. "Mbele yetu yupo katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye yeye amepewa cheo kikubwa katikati yetu, ametuzidia mbali kabisa, na sisi tunaomba tumkopeshe...
  5. JamiiForums Tanzania Abdul Kambaya: Rais Samia na Emanuel Nchimbi wanaleta Tanzania yenye kasi ya maendeleo

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya akiwa katika ziara na Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kuwa watu wanapofanya maamuzi ya kukiunga Mkono CCM hawaangalii ukubwa wa sauti isipokuwa wanaangalia hoja ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ➕ Mhe. Dkt. Emmanuel...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi aagiza bandari ya Mbamba Bay kukamilika kwa wakati

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameielekeza Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha mradi wa usanifu na ujenzi wa bandari mpya ya Mbamba Bay, iliyopo Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma unakamilika kwa wakati na kwa viwango bora. Dk...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Hata Marekani haijamaliza tatizo la ajira, tutalifanyia kazi ili baada ya miaka mitano tuseme tumelipunguza

    Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kitaweka mikakati mizuri ya kuhakikisha vijana wanapata ajira. Kauli hiyo ameitoa Aprili 5, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mbambabay, wilayani Nyasa, alipokuwa ziarani mkoani...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wazee wa Nyasa wamshukuru Rais Samia kwa kumteua Dkt. Nchimbi kuwa Mgombea mwenza Uchaguzi mkuu 2025

    Chief Sadiwabu Mussa Mitondo wa Pili akizungumza kwa niaba ya Wazee wa Nyasa wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluh Hassan kwa kumchagua Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea mwenza wa Uchaguzi ujao na pia Katibu Mkuu wa chama hicho na kwamba kiongozi huyo ni mzalendo wa kweli na mchapakazi wa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM inaamini Maisha ya Watanzania ni Kipaumbele kuliko kitu chochote!

    Wakuu Mmesikia hili la CCM kwa Wananchi? == Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewashukuru wana CCM kwa kuendelea kukiunga mkono cham hicho na ushiriano wanaoutoa katika utekelezaji wa ilani yake. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi aahidi Soko na Stendi ya Kisasa Namtumbo, apongeza mafanikio ya Kilimo Ruvuma

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mgombea Mwenza wa Urais 2025, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Ruvuma kwa kufanya mkutano na wananchi wa Wilaya ya Namtumbo, ambapo amesisitiza umuhimu wa kuimarisha sekta ya kilimo na kuahidi kushughulikia...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM itashinda Kwa Kishindo Uchaguzi Mkuu wa Oktoba

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho tayari kimejipanga kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi azungumza na makamu wa rais wa Nigeria

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Kashim Shettima Mustapha, Makamu wa Rais wa Nigeria, walipokutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek, nchini Namibia, mara baada ya mazishi ya Rais wa Kwanza wa...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi akutana na Emmerson Dambudzo Mnangagwa

    Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Mhe. Emmerson Dambudzo Mnangagwa akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi walipokutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek, nchini Namibia, mara baada ya mazishi ya Rais wa Kwanza wa Namibia...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi azungumza na Thabo Mbeki

    Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mzee Thabo Mbeki akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi walipokutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek, nchini Namibia, mara baada ya mazishi ya Rais wa Kwanza...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa azungumza na Dkt. Nchimbi

    Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa, akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, walipokutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek, nchini Namibia, baada ya mazishi ya Rais wa Kwanza wa Namibia na Baba...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Dkt. Nchimbi: Kuna watu wameanza kuwapa fedha wajumbe waache mara moja

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea mwenza wa kiti cha Urais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema wapo watu wameanza kampeni za kutaka kuwatoa majimboni wabunge waliopo kwenye maeneo yao na kupitia kampeni zenye nia ya kuchafuana, hivyo amewataka waache mara moja kwani...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Hakuna mgombea ubunge kupita bila kupingwa

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameonya vikali Wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani na uwakilishi ambapo Balozi Nchimbi alisema baadhi ya Wanachama wanaotaka nafasi za uongozi wanaanza kupitisha fomu ili watangazwe kuwa Wagombea pekee ambapo amesema...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halmashauri Singida waidai ahadi ya Dkt. Nchimbi kuwajengea soko la vituguu

    Halmashauri ya Wilaya ya Singida imekumbushia ahadi ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi ya kujengewa soko la vitunguu ambalo litasaidia kuongeza mapato ya halmashauri ambapo imeiomba serikali kutoa Sh.bilioni 2 ili kufanikisha ujenzi wa soko hilo. Mwenyekiti wa Halmashauri ya...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM inanadi sera zake sio matusi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais Tanzania Bara Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema CCM Haifanyi siasa za matusi kwani ni Chama cha Mfano katika kuhakikisha kinaheshimu utu wa watu na kufanya kazi kwa kufuata misingi yake. Soma: Dkt...
  20. JamiiForums Tanzania CCM na PP kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Ethiopia - Balozi Dkt. Nchimbi

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema urafiki kati ya CCM na Prosperity Party, chama tawala cha Ethiopia, ni hatua muhimu katika kuboresha na kuimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili, pamoja na watu wake. Balozi Nchimbi amesema kuwa ushirikiano mzuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…