dkt. kisenge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Dkt. Kisenge: Ukivuta shisha moja sawa na sigara 100

    Wavuta shisha habari iwafikie =========== Aprili 1, 2026 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amesema kuwa matumizi ya tumbaku yanaendelea kuwa chanzo kikubwa cha magonjwa ya moyo, yakisababisha vifo vya takribani watu milioni 20 duniani...
  2. Roving Journalist

    Dkt. Kisenge: Wastani wa Watoto 10,000 huzaliwa nchini wakiwa na matatizo ya moyo kila mwaka

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeongeza siku mbili zaidi za upimaji bure wa afya ya moyo, hatua iliyochukuliwa kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kujitokeza kupima na kupata ushauri wa kitabibu katika maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani. Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge...
  3. mwanamwana

    UTEUZI: Rais Samia afanya teuzi za Wakurugenzi Watendaji wa Hospitali ya Muhimbili na JKCI

    UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili. Prof. Janabi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Janabi anachukua nafasi ya Prof. Lawrence Maseru ambaye amestaafu. Aidha Rais...
Back
Top Bottom