dkt. florence samizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Naibu waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi: Serikali itagharamikia bima ya afya kwa wote kwa makundi maalum

    Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Ukonga Bakari Bakari Shingo, kuhusu Serikali kukemea vitendo vya kutoza gharama za matibabu kwa wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka 5, Naibu waziri wa Afya Dkt. Florence Samizi amejibu kwa kutoa ufafanuzi " Serikali inatekeleza sera ya afya ya mwaka...
  2. H

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Swede

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden.
  3. H

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akijadiliana jambo na Mkunga Mkuu wa Shirikisho la Wakunga la Kimataifa (ICM), Prof. Jacque

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akijadiliana jambo na Mkunga Mkuu wa Shirikisho la Wakunga la Kimataifa (ICM), Prof. Jacqueline Dunkley-Bent, wakati wa Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini...
  4. H

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) p

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Huduma za Kinga na Elimu ya Afya wa Wizara ya Afya ya SMZ, Dkt. Salim Slim (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya...
  5. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Florence Samizi Ashiriki Mapokezi ya Mwenyekiti Kawaida Kigoma

    DKT. FLORENCE SAMIZI ASHIRIKI MAPOKEZI YA MWENYEKITI KAWAIDA KIGOMA Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoa wa Kigoma, Mhe. Dkt. Florence George Samizi ameshiriki mapokezi na ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) ambaye amepokelewa...
  6. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Dkt. Florence Samizi ashauri viwanda vya mbolea vipatiwe Ruzuku

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe lililopo mkoani Kigoma Dkt. Florence Samizi ameishauri Serikali kuvipatia fedha za ruzuku kwa wakati viwanda vya mbolea ili mbolea ifike kwa wakulima ikiwa tayari ina ruzuku, hali itakayovisaidia viwanda hivyo kujijengea uwezo wa kujiendesha na kuzalisha zaidi ajira...
  7. B

    Mbunge Samizi asimama bungeni kupigania ujenzi skimu ya nyendara, serikali yatoa majibu

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence Samizi Ijumaa Februari 07, 2025 amesimama Bungeni kuiulizia Serikali kuhusu ukamilishaji wa Skimu ya Nyendara. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. David Silinde amemjibu Mhe. Mbunge Samizi kwa niaba ya wananchi wa Muhambwe kwamba Serikali iko...
  8. B

    LGE2024 Mbunge Samizi achanja mbuga kunadi Wagombea wa CCM Muhambwe

    MBUNGE SAMIZI ACHANJA MBUGA KUNADI WAGOMBEA WA CCM MUHAMBWE. Apita mguu kwa mguu Kata za Mkabuye, Rugongwe, Busagara kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Dkt. Florence George Samizi ameendelea kuchanja mbuga kuwaombea kura na kuwanadi wagombea wa...
  9. B

    Mbunge Dkt. Samizi: Matokeo ya Royal Tour yaonekana Moyowosi, idadi kubwa ya watalii na mapato vyaongezeka

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo Mhe. Dkt. Florence Samizi amesema filamu maarufu ya Tanzania The Royal Tour iliyochezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeleta matokeo makubwa Katika Pori la Akiba Moyowosi linalosimamiwa na Mamlaka ya...
  10. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Florence Samizi (Mb): Matokeo ya Royal Tour Yaonekana Moyowosi, Idadi Kubwa ya Watalii na Mapato Vyaongezeka

    DKT. FLORENCE SAMIZI: MATOKEO YA ROYAL TOUR YAONEKANA MOYOWOSI, IDADI KUBWA YA WATALII NA MAPATO VYAONGEZEKA Mbunge wa Jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo Mhe. Dkt. Florence Samizi amesema filamu maarufu ya Tanzania The Royal Tour iliyochezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
  11. B

    LGE2024 Mbunge Samizi agawa mitungi ya gesi 200 kwa Mama na Baba lishe 200 Muhambwe, ahamasisha ushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa

    Atumia fursa hiyo kuhamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27 mwaka huu Katika harakati za kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan anayepambana kupunguza uchafuzi wa mazingira na kuenenda na Mpango wa Taifa wa utunzaji wa mazingira kwa kutumia Nishati Safi ya...
Back
Top Bottom