Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amefanya mazungumzo na Balozi wa Cuba nchini Tanzania Mhe. Yordenis Despaigne Vera, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 12 Machi 2026.
Mazungumzo hayo, yamelenga kuimarisha uhusiano...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa Wizara zinahusiana na Sekta ya Mazingira, kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuwa na mpango wa pamoja utakaowezesha uhifadhi endelevu wa mazingira.
Makamu wa Rais...
VIDEO.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizindua mpango wa ushirikiano kati ya Taasisi za Elimu na Waajiri, katika hafla iliyofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam
balozi
dkt.emmanuelnchimbiemmanuelnchimbi
jamhuri
jamhuri ya muungano
makamu
makamu wa rais
mpya
muungano
muungano wa tanzania
mwaka
mwaka mpya
nchimbi
rais
rais wa jamhuri
tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amefika nyumbani kwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu. Leonard Qwihaya, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, kutoa pole kufuatia kifo cha Mama mzazi wa Ndugu. Qwihaya Bi. Laurencia Shija...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la...
dkt.emmanuelnchimbidkt.nchimbiemmanuelnchimbi
gani
jamhuri ya muungano
jumuiya
kabila
makamu wa rais
maziwa makuu
museveni
nchi
nchimbi
rais wa jamhuri
wewe
yoweri
yoweri museveni
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 14 Desemba 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Taifa limepata pengo kuondokewa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma, marehemu Jenista Mhagama ambaye alikuwa kiongozi aliyeheshimika na kutumikia nchi katika majukumu mbalimbali ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akitembelea na kukagua jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira linalojengwa katika Mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma na kuzungumza na watumishi wa Ofisi.
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU UDANGANYIFU KWA KUTUMIA JINA LA BALOZI DKT. EMMANUEL JOHN NCHIMBI
Hivi karibuni kumekuwepo ongezeko la matukio ya udanganyifu yanayofanywa na watu wasiojulikana wanaotumia jina la Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa lengo la...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chama hicho kimefanya mabadiliko ya kuongeza wajumbe katika Mikutano Mikuu ya Kata na Mikutano Mikuu ya Wilaya ili kupunguza mianya ya rushwa iliyokuwa ikifanywa na watia nia ili kupitishwa na chama kugombea udiwani na ubunge...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea mwenza wa kiti cha Urais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema wapo watu wameanza kampeni za kutaka kuwatoa majimboni wabunge waliopo kwenye maeneo yao na kupitia kampeni zenye nia ya kuchafuana, hivyo amewataka waache mara moja kwani...
Wakuu
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma kikiongozwa na Mwenyekiti wake Comrade Oddo Mwisho kimefanya Maandamano ya amani yenye lengo la Kupongeza na kuunga mkono Azimio la mkutano mkuu Maalum wa CCM Taifa ambalo liliwachagua na kuwapitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa Jamhuri...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chama hicho hakina sababu ya kutumia lugha ya kebehi na matusi kutokana na utekelezaji mkubwa wa miradi uliofanywa na serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Balozi Dkt. Nchimbi ametoa kauli hiyo jijini...
Emmanuel John Nchimbi alizaliwa tarehe 24 Desemba 1971 mkoani Ruvuma, Tanzania. Alikulia katika familia yenye maadili ya kijamii na kisiasa, jambo ambalo lilimwandaa mapema kwa ajili ya kuingia kwenye uongozi akiwa bado kijana mdogo
Elimu yake:
Elimu ya Msingi: Alisoma katika Shule ya Msingi...
===
Wana jamii forum hii ndio habari kuu mpya toka mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa kuwa Mhe Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao Oct 2025.
Uteuzi na mabadiliko haya yataanza rasmi baada ya mwezi July Bunge litakapovunjwa hivyo Dkt Philip...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 09 Oktoba 2024 akiwa Tinde Shinyanga Vijijini amezungumza na Wananchi na moja ya kero ilikuwa ni Changamoto ya Mfumo Katika ugawaji pembejeo kwani mkulima inamlazimu mtu kutoka asubuhi sana kuwahi lakini akakosa pia ...
Ndugu zangu watanzania,
Tundu Lissu anayo mengi sana ya kujifunza kutoka Katika picha hii inayomuonesha Katibu Mkuu wa CCM Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Hii picha ilichukuliwa na kupigwa hapo jana walipokutana...
CCM wana roho njema sana, sasa wamechukua jukumu la kuhakikisha Tundu Lissu anapata gari. Chadema wameshindwa kumpa gari kiongozi wao mkuu.
Nashauri kila mkutano wa CCM wamchangie Lissu, na pia Mama Samia ampe surprise ya mchango katika moja ya mikutano ya hadhara.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.