Katika kipindi cha awamu iliyopita, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, Watoto na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, alionesha uongozi madhubuti, uwajibikaji, na moyo wa kujitoa kwa ajili ya jamii. Kutokana na mchango wake mkubwa, hana budi kupongezwa kwa kuteuliwa tena — ishara kuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateua Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Taarifa hiyo imetolewa leo November 10,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi...
Kwenye Baraza la mawaziri la serikali ya MamaSamia2025 , basi hamna waziri aliyepiga kazi moja kwa moja kutatua kero za jamii kama alivyofanya waziri Dkt. Gwajima D .
Kuna wakati tulikuwa tukinchosha kwa kero zetu, naye hakutujibu vibaya ila alitumia hekima kubwa kutoka mbinguni.
Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu .
Naomba kutambua mchango wa wadau wote humu ndani kwa michango yao , kwa pamoja katika kuchangia hoja ...
dkt.dorothygwajimadorothydorothygwajimagwajima
hoja
kiume
kuchangia
kuchangia hoja
kuhusu
malezi
malezi ya watoto
mzazi
mzazi wa kiume
naomba
watoto
wazazi
Wakuu,
Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.
Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
Halima Mdee
Alikuwa Mbunge wa Kawe kuanzia 2010 hadi 2020 (CHADEMA) akiwa miongoni mwa Wanawake wachache walioweza kuingia Bungeni kwa kupitia vyama vya Upinzani. Aliwahi pia kuwa mwenyekiti wa BAWACHA
Dorothy Semu
Mwaka 2020 aliteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara na Chama cha ACT-Wazalendo...
Wizara ya Maendeleo ya Jamii kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) inaandaa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali litakalofanyika tarehe 04 - 06 Sept, 2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma kuanzia saa 1.30 asubuhi...
Wasichana wa ki-islamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma inayosadikika kuwapa elimu ya dini leo 19-02-2024.
Wapo zaidi ya mabikra 200, wanakula na kunywa bure kwa siri kubwa sana.Fedha za kuwalisha, kuwapa vinjwaji, kununua pedi[taulo] kila mwezi hazijulikani zitokapo na...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt . Dorothy Gwajima ameeleza kusikitishwa na tukio linalodaiwa kufanywa na mkuu wa wilaya ya Songwe, Simon Simalenga la kumpiga na kumjeruhi binti mwenye umri wa miaka 20 Florenencia Mjenda, mkazi wa kata ya Mbangalo wilayani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.