diwani

Diwani is a calligraphic variety of Arabic script, a cursive style developed during the reign of the early Ottoman Turks (16th century - early 17th century). It reached its height of popularity under Süleyman I the Magnificent (1520–1566).
It was labeled the Diwani script because it was used in the Ottoman diwan and was one of the secrets of the sultan's palace. The rules of this script were not known to everyone, but confined to its masters and a few bright students. It was used in the writing of all royal decrees, endowments, and resolutions. A Diwani text adorned with a tugrah, a complex calligraphic seal, represented the authority of the Sultan and the Ottoman state.The Diwani script can be divided into two types:

The Riq`a Diwani style, which is devoid of any decorations and whose lines are straight, except for the lower parts of the letters.
The Jeli Diwani or clear style. This kind of handwriting is distinguished by the intertwining of its letters and its straight lines from top to bottom. It is punctuated and decorated to appear as one piece. The Diwani handwriting is known for the intertwining of its letters, which makes it very difficult to read or write, and difficult to forge.

Diwani is marked by beauty and harmony, and accurate small samples are considered more beautiful than larger ones. It is still used in the correspondence of kings, princes, presidents, and in ceremonies and greeting cards. and has a high artistic value.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Chato wamrudishe Diwani Kapembe awe Mwenyekiti wa Halmshauri ya Chato. Alishinda kihalali apewe kiti chake

    Bila ubishi Kapembe anachukua kiti cha uenyekiti. Manunga alitumia pesa tu ambazo zilimpa uenyekiti bila ridhaa ya madiwani. Leo ametimuliwa. Hata uchaguzi ukirudiwa sasa hivi Kapembe anashinda.
  2. Inside10

    TANZIA Diwani Wa CCM Kata Ya Mzimuni Manispaa Ya Kinondoni Afariki Dunia

    Diwani wa CCM Kata ya Mzimuni katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mheshimiwa Manufred C. Lyoto amefariki dunia leo Machi 7, 2026 Taarifa za kifo chake zimetolewa na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mzimini, Abdalah M. Ally, ambaye pia ametoa pole kwa wanachama wa CCM pamoja na wananchi wote...
  3. Damaso

    Diwani Jackson Chatanda ametoa msaada wa sahani 300 kwa shule ya msingi Ulonge

    Diwani wa kata ya Igumbilo Manispaa ya Iringa Jackson Chatanda ametoa msaada wa sahani 300 kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ulonge, hatua iliyolenga kutatua changamoto kubwa ya ulaji iliyokuwa ikiikabili shule hiyo kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka shuleni hapo, wanafunzi wengi...
  4. R

    Pesa za Disemba 9 zilienda wapi? Maana kata yangu Haina ofisi ya diwani wala mtendaji zilichomwa zote

    Salaam! Tukio la Oct 29 liliuacha mtaa, kata,ubalozi bila ofisi yeyote. Hakuna kituo Cha polisi, hakuna ofisi ya Diwani feki, ofisi ya mwenyekiti wa mtaa zote zilichomwa na WENYE NCHI. Sasa Kila ukitokea kutoelewana au ugomvi mtaani au tukio la wizi, kesi hiyo hakuna mahala pa kuisuluhishia...
  5. Waufukweni

    DC Kilosa: Kuna Diwani ameingia madarakani ataka kutapeli ardhi akiomba ushirikiano kwa DC

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amesema wapo baadhi ya Viongozi katika Wilaya hiyo wanatumia vibaya madaraka yao na kujimilikisha ardhi kinyume na utaratibu. DC Shaka amesema hayo katika muendelezo wa ziara yake kuzungumza na Wananchi na Viongozi ambapo amesema yupo Diwani baada ya...
  6. R

    PostGE2025 Wananchi wa Malangali Manispaa ya Sumbawanga wamejitokeza kupiga kura ya marudio kuchagua diwani

    Shughuli ya upigaji kura inaendelea katika Kata ya Malangali Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, ambapo wananchi wameendelea kujitokeza kupiga kura ya udiwani katika uchaguzi wa marudio unaoendelea leo Januari 22, 2026. Wananchi wameendelea kujitokeza katika vituo mbalimbali vya kupigia kura...
  7. Mafyangula

    PostGE2025 Diwani wa Kata ya Mwendakulima afanya uteuzi wa wasaidizi katika ofisi yake

    Mhe. Diwani wa Kata ya Mwendakulima ambaye pia naibu Meya wa Manispaa ya Kahama, Ndugu SHABAN MIKONGOTI amefanya uteuzi wa wasaidizi (2) watakao hudumu katika ofisi yake kama ifuatavyo: i. Ndugu DEUS JOSEPH ametewuliwa kuwa Katibu wa ofisi ya Diwani anayeshughulikia Jamii na Mahusiano. Ndugu...
  8. DuaZaMama

    TANZIA Diwani mteule wa CCM Kata ya Shiwinga, amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri

    Aliyekuwa Diwani mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Lusekelo Mwalukomo amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri. Tukio hilo lilitokea jana Novemba 26, 2025 na amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mbozi...
  9. M

    Uwepo wa Diwani Athumani na Kapilimba Bungeni ni kama ulimchanganya kidogo

    Walipotambulishwa niliona kama pozi iliisha kidogo au ni macho yangu?
  10. Fbn

    PostGE2025 Uchaguzi: Kuna mkoa X vituo vilichomwa moto vyote ila kila diwani amepata kura 9,000 kila kituo na Mbunge wakati maboksi yalichomwa moto

    Nchi hii kuna mambo tunapoelekea tunaitafuta vita mbaya ambayo hawa watu watakuwa sio raia wa nchi yetu nacho kiona kama mange kimambi anavyotuelea kuhusu mtoto wa samia sasa ni raia wa waarabu. Nimekaa kimya ila jambo linaumiza kwa hasira sana kuna mkoa vituo vilichomwa moto ila madiwani wa...
  11. Waufukweni

    GE2025 Baadhi ya Wananchi Tarime waandamana hadi Kituo cha Polisi wakitaka diwani, Sinda Geteba aliyetekwa aachiliwe

    Wakuu Wanachama wa CCM wameandamana huko Sirari Tarime hadi Kituo cha Polisi wakitaka diwani wao Sinda Geteba aliyetekwa aachiliwe. Soma > SIRARI -Tarime wananchi waandamana Diwani ambaye amepotea baada ya kutangazwa ameshinda
  12. A

    Manara kuwa Diwani

    Historia yake vipi kama hii hapa KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara, amejiuzulu wadhifa huo baada ya kuhusishwa na tuhuma za utapeli. Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Kirumbe Ngenda, jana alilithibitishia gazeti hili kuwa wamekubali barua ya...
  13. Just Pray

    GE2025 Aliyekuwa Diwani Likotiko achukua fomu kutetea nafasi Gangilonga kupitia CCM

    Diwani wa Kata ya Gangilonga, Mheshimiwa Likotiko Kenyata, leo amechukua rasmi fomu ya kugombea tena nafasi ya udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kushinda na kupitishwa na chama hicho katika mchakato wa kura za maoni uliohitimishwa hivi karibuni. Akizungumza mara baada ya...
  14. Waufukweni

    GE2025 Diwani aliyemlilia Paul Makonda atimkia CHAUMMA

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Themi jijini Arusha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Petro Lobora, amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na kukabidhiwa kadi ya uanachama sambamba na kuchukua fomu ya kuwania udiwani katika kata hiyo aliyoiwakilisha awali kupitia CCM. Tukio hilo...
  15. Mangwea1900

    Naomba kujua namna wabunge au madiwani wanavyosaidia au wanavyoleta maendeleo ya wananchi

    Naomba kujua namna wabunge au madiwani wanavyosaidia/wanavyoleta maendeleo ya wananchi waliowachagua.
  16. N

    GE2025 SIRARI -Tarime wananchi waandamana Diwani ambaye amepotea baada ya kutangazwa ameshinda

    Muda huu risasi za moto zinarindima baada ya wananchi kuandamana na kufunga barabara kumtaka diwani ambaye inadaiwa ametekwa akiwa Tarime na hajulikani alipo! Hali ambayo imepelekea wananchi kuandamana kumtafuta Inadaiwa huyo diwani alikuwa yupo upande mwita waitara, na mpinzani wake alikuwa...
  17. figganigga

    GE2025 Video: Dar, Mgombea Diwani Rajabu Shabani Manyinya wa Kivule Akitoa Rushwa hadharani. TAKUKURU Kazi kwenu

    TAKUKURU, pokeeni kazi hii. Mshindi wa kura za udiwani Kata ya Kivule ndungu Rajabu Shabani Manyinya akitoa rushwa waziwazi siku moja kabla ya uchanguzi kufanyika. Kata ya Kivule ipo Jimbo jipya la Kivule Jijini Dar es Salaam. Nategemea kupoka majibu sahihi kutoka kwenuo Hii rushwa yeye...
  18. mgt software

    GE2025 Uhuni uliofanyika kata ya Bunju kumrejesha diwani mstaafu

    Waja JF Ukisikia wahuni sio watu. Basi ndio hii. Kundi dogo la watu 14, liliongozana kwenda kwenye ofisi za chama likidai, wakazi wa Bunju. Wanalia sana kwa kuondolewa jina la Diwani Kheri Misinga, jambo ambalo ni la kihuni linatakiwa likemewe, madiwani wengi wastaafu, walikuwa wakiunda magroup...
  19. Carlos The Jackal

    Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  20. Fbn

    Dokezo: Nafasi ya Mbunge na Diwani katika Maendeleo ya Tanzania

    Katika mfumo wa kisiasa wa Tanzania, Mbunge huchukuliwa kama mwakilishi wa wananchi bungeni kwa lengo la kushiriki katika uundaji wa sheria na usimamizi wa serikali. Hata hivyo, kwa miaka mingi kumekuwepo na mwelekeo unaoonesha kwamba baadhi ya wabunge wanapewa majukumu yanayopita mipaka ya...
Back
Top Bottom