dira ya taifa 2050

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Dira ya Taifa ya maendeleo 2050 na uwajibikaji

    WanaJF, Natumaini tunaendelea vizuri wikendi hii. Leo nimekuja na ushauri kwa serikali yetu wakati tunapambana kuelekea kwenye uchumi wa juu kama nchi. Wakati tunajivunia maendeleo tuliyopata na tunayoendelea kupata kwenye sekta za afya, elimu, usafirishaji etc tunatakiwa tuhakikishe huduma...
  2. Doctor Mama Amon

    Dosari Kuu: Dira ya Taifa 2050 haijataja shabaha za Ufanisi wala vigezo vya kupima kasi ya Ufanisi kama Ilivyokuwa kwa Dira ya Taifa 2025

    I. Utangulizi Salaam Profesa Kitila Mkumbo na Timu yako. Nimepekua kitabu cha "Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050" kilichozinduliwa Jijini Dodoma, tarehe 15 Julai 2025 (Kiambatanisho A). Uzinduzi wake unahitimisha utekelezaji wa Dira ya Tanzania 2025 iliyoanza kutekelezwa mwaka 2000. Baada ya...
  3. Yoda

    Matatizo matatu makubwa kwenye Dira ya Taifa 2050

    1. Malengo yasiyo na uhalisia Nimemsikiliza Rostam Aziz anasema tume ya kutengeneza dira walikuwa wanalenga Tanzania iwe na ukubwa wa uchumi(GDP) kati ya $bilion 500-700, wao sekta binafsi wakina Rostam wakapendekeza malengo iwe GDP $Trilion 1 ! Haya ni malengo yasiyo na uhalisia, kwa miaka 25...
  4. OLS

    Dira ya Taifa 2050 haina makadirio ya uwiano wa kodi itakayokusanywa kwa mwaka 2050

    Naendelea kusoma Dira ya Taifa ya 2050 ambayo inazinduliwa leo. Jambo moja la msingi ni wapi tunapata hela za kutekeleza yaliyomo kwenye dira. Dira imeelezea masuala ya kodi na moja ya matarajio ni kuwa na uchumi jumuishi utakaoongeza uwiano wa makusanyo ya kodi na pato ya taifa. Uwiano wa kodi...
  5. Waufukweni

    Dira ya Taifa 2050 inasema angalau asilimia 70 ya Wananchi watakuwa na ujuzi wa TEHAMA, tutafikaje huko ikiwa kufungia Mitandao bado kunaendelea?

    Wakuu! Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, inayotarajiwa kuzinduliwa mchana wa leo, inaweka mkazo mkubwa katika kujenga Tanzania ya Kidijitali. Kupitia dira hiyo, Serikali imelenga kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050, angalau asilimia 70 ya Wananchi wanakuwa na ujuzi wa TEHAMA. Soma > Rais Samia...
  6. J

    Rais Samia azindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Dodoma Julai 17, 2025

    Usiondoke JF Rais Samia Suluhu Hassan leo anazindua rasmi Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 hafla itakayofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Uzinduzi huo utafanyika wakati wa Mkutano wa Tatu wa Taifa wa Dira, na unatajwa kuwa ni tukio kubwa la kihistoria, likiwa ni mara ya...
  7. ChoiceVariable

    PreGE2025 Mnaoandaa Ilani za Uchaguzi za Vyama Vyenu Zingatieni Malengo ya Dira ya Taifa ya 2026-2050

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuzindua Ilani yake ya uchaguzi kwa mwaka 2025-2030 baada ya inayotekelezwa kwa sasa kuelekea ukingoni. Mwenyekiti wa CCM Taifa, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan amewaambia wajumbe wa mkutano mkuu wa chama...
  8. chiembe

    Prof Kitila Mkumbo, usihitimishe mchakato wa dira ya maendeleo ya taifa bila kutembelea China ili kujifunza mafanikio katika sekta ya viwanda na elimu

    Kuna nchi ambazo zinatakiwa either tukajifunze kwao au tuwaite wataalamu wao waweke input zao katika dira yetu. Moja ya nchi hizo ni china. Tuna haha ya kuuchimba mfumo wao wa elimu ili kuchukua yale mazuri na ya muhimu. Tujifunze kwamba pamoja na kuwa na watu wengi, bado wameweza kuhimili...
  9. K

    Tanzania! Fake! Dira ya taifa 2050 bila katiba mpya ni kujidanganya!

    Pamoja na ukweli kwamba Watanzania tunapenda kujidanganya lakini cha ajabu tunadanganya mpaka vizazi vijavyo. Bila katiba mpya ambazo zitatoa mfumo imara wa sheria, bunge na utawala bora hatuwezi kuwa na dira ya maana bila hayo. Huwezi kuweka Dira wakati kiongozi yeyote anaweza kuingia na...
  10. Financial Intelligence

    Kafulila: Pato la Kila Mtanzania litafikia TZS 17M kwa mwaka 2050

    Hiki ndicho alichokiandika Kafulila kwenye Ukurasa wake wa X, "Kati ya mwaka 2000 na 2025, pato la kila Mtanzania liliongezeka mara manne ( 4 ) kutoka US$360 mpaka US$ 1500 kama ikiendelea hivyo, mwaka 2050, pato la kila Mtanzania litakuwa US$ 6,000 sawa na Pato la Mwafrica ya...
  11. Yoda

    Watoto hawaimbi nyimbo za Sunday school na Kaswida tena, mdau alalama akitoa maoni dira ya taifa 2050

    Mchakato wa kukusanyika maoni ya dira ya taifa ya maendeleo 2050 ukiendelea umekutana na maoni ya mmoja wa raia akilalamika maadili ya Mtanzania yakizidi kupotea hasa kwa watoto, raia huyu amelalama watoto kuacha kuimba nyimbo za Sunday school na kaswida badala yake wanaimba "vibuno", "honey"...
  12. Cute Wife

    Prof. Kitila Mkumbo: 81% ya waliotoa maoni kwenye Dira ya Taifa 2050 ni vijana

    Akizungumza katika uzinduzi wa Kongamano la Kikanda la Maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Mwaka 2050 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema zaidi ya 81% ya waliotoa maoni ni Vijana kati ya miaka 15- 35. Pia soma: Kongamano la Kwanza la Kitaifa kuhusu maandalizi ya...
  13. Abdul Said Naumanga

    Kongamano la Kwanza la Kitaifa kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Ushiriki wa Wananchi katika Kuunda Dira ya Taifa

    Habarini Wanajamvi, Leo, tunashuhudia tukio la muhimu la Kongamano La Kwanza La Kitaifa kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, likiendelea hivi sasa. Ni fursa adhimu kwa kila Mtanzania kushiriki katika kujenga mustakabali wa Taifa letu. Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango...
Back
Top Bottom