Cairo. Mpango wa Diplomasia ya Afya kwa Wanafunzi wa Tiba umezinduliwa nchini Misri kwa udhamini wa Muungano wa Kimataifa wa Wanafunzi wa Tiba wa nchi hiyo na tawi lake katika Chuo Kikuu cha MTI.
Mpango huo unaolenga kuwawezesha madaktari chipukizi na wanafunzi wa tiba kutoka Misri na wa Sudan...
Kwa Mara ya Kwanza Barani Afrika
Wanafunzi wa Misri Wazindua Mpango wa “Diplomasia ya Afya”
Kairo ilishuhudia uzinduzi wa toleo la kwanza la Mpango wa “Diplomasia ya Afya kwa Wanafunzi wa Tiba”, ambao ni wa kwanza wa aina yake nchini Misri na Afrika, kwa udhamini wa Muungano wa Kimataifa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.