Bara la Africa ndipo ambapo dini za wazungu na Waarabu za Ukristo na Uislamu ziliweza kufuta kabisa dini za wenyeji na kuchukua nafasi kama dini kuu mpya. Jambo hili halikuwezekana kwa mataifa ya kale kama China, Japan na India pamoja na mengine kama Vietnam, Korea, Nepal, Thailand, Mongolia n.k...
Hili nalo linafikirisha sana. Je kuna ulazima gani wa waafrika kulazimika kuwa Waislam, Wakristu au Waarabu wakati Mungu wa watu wote aliwaumba ktk uafrika wao na katika asili na mila zao? Je, Mungu huyo hakuwa na akili timamu?
Waafrika ni ujinga gani huu?
Habari wakuu,
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la kampeni kubwaa sana ya kupinga Vita dini na kusema dini ni vitu vya kuletwa na majahzi tu zisifuatwe, na maneno haya utakuta wanaoongea wala siyo atheists bali ni watu wanaoamini katika Mungu sema tu wanadai kuwa mfumo wa kumuabudu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.