dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hoja na Mjadala dhidi ya Mafia Boxing Promotion

    Katika muktadha wa Mafia Boxing Promotion na matokeo ya mapambano ya hivi karibuni, kuna maswali na kashfa ambazo zinapaswa kujadiliwa kwa kina. Kuna hoja nzito kwamba Mafia Boxing Promotion inawazalisha mabondia kwa njia isiyo ya haki, ama kwa kuwaweka kwenye pambano dhidi ya wapinzani wasio...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe dhidi ya Lissu, jahazi la wabangaizaji linazidi kung'ara!

    Inaweza kuwa ni kutokana na umahili, kukubalika, ubora wa sera, n.k: Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025 Ya nini kuandikia mate? Jahazi la wabangaizaji linazidi kung'ara!
  3. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025

    Haya ni kutokea katika waliyosema wenyewe hadi sasa, watia nia hawa: A. SERA ZA LISSU: 1. Ukomo wa madaraka kwa Kiongozi wa chama. 2. Uwazi katika mapato na matumizi. 3. Upatikanaji wa wawakilishi wa chama mfano Viti maalumu na ngazi zingine zifuate utaratibu. 4. Uwepo ukomo wa kupata nafasi...
  4. JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Yanga ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Dodoma jiji

    1. Inawezekana kabisa Yanga imejipata, wachezaji wanacheza kwa nguvu na kujituma kama ilivyokua mwanzo, gari limewaka. 2. Kibwana Shomari ameendelea kuproove kwanini mashabiki walipiga kelele apewe nafasi ya kucheza. Aziz k amerudi. 3. Clement mzize ni winga hatari sana kwa sasa, ana kasi...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuhimili mabadiliko ya hali ya hewa ya biashara (Mabasi dhidi ya SGR)

    Habari wanajamvi, Natumaini Krismasi inaenda vizuri. kwa mliowahi kanisani, hongereni. Kwa wengine ambao wanatumia fursa hii kupumzika, nawatakia mapumziko mema (binafsi likizo ya wiki moja itaanza jioni ya leo. Krismasi kwangu ni fursa ya kuwasaidia wahitaji). Leo nlikuwa mtandaoni, nikaona...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke wazi tuhuma zake za ugaidi dhidi ya Mbowe zilibase katika ushahidi gani!

    Mpaka hivi sasa tunavyoongea, Mwenyekiti Mbowe hajawahi kusafishwa na mahakama wala serikali wala chombo chochote nchini kuwa tuhuma za serikali kwa Mbowe kuhusu Ugaidi zilikuwa za uwongo. Sisi wananchi tunachoamini ni kuwa kesi hiyo ilikuwa ni ya mchongo, ya kubambikiza na ya uonevu. Lakini...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujilinda na kujikinga dhidi ya magonjwa ya FIGO

    Habari wakuu nauliza nawezaje kujikinga na maradhi ya Figo au vyakula Gani visivyofaa vinahatarisha afya ya figo
  8. JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi dakika za jioni dhidi ya JKT Tanzania

    1. Hii ni moja kati ya mechi ngumu msimu huu, JKT wamecheza kwa mbinu na nguvu nyingi dakika zote. 2. Refarii hajafanya kosa kutoa tuta, lile ni tuta, wa kulaumiwa ni mchezaji wa JKT kufanya utoto dakika za mwisho ( inawezekana ni mwanafamilia wa Simba). 3. Joshua mutale apewe mapumziko na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya M23 yanakwendaje?

    Muda mrefu sijasikia kuhusu mapigano yanayowahusu M23. Je, majeshi ya SADC yametuliza mambo?
  10. JamiiForums Tanzania Hotuba Ya Mbowe Ilikiwa ya kumpamba Rais Samia dhidi ya Hayati Magufuli

    Jana, Mbowe kwenye hotuba yake, alitumia muda mwingi kuzungumzia maridhiano. Na yeye mwenyewe alisema kuwa angetumia muda mrefu kuongelea maridhiano. Kwa hotuba ile ya Mbowe, ni dhahiri chini ya uongozi wake, CHADEMA itakuwa chama rafiki wa CCM ya Samia, na mwanachama yeyote atakayekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ibrahim Bacca anyang'anywe tuzo ya mchezaji bora katika mechi ya leo dhidi ya Prisons

    Nitashangaa sana kama TFF hawatamnyang'anya tuzo ya mchezaji bora Ibrahim Bacca aliyoipata katika mchezo wa leo dhidi ya Prisons. Bacca amepewa credit kwa kufunga goli la 4 ila marejeo ya video yanaonyesha alifunga goli hilo kwa mkono waziwazi kabisa. Najua mechi imeisha na goli haliwezi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi kamkosea nini Mbowe?

    Boniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface · 1h Walio dhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid? Vipi leo wamesema lolote kuhusu TBC LIVE Coverage?hawawezi kusema 🤣🤣🤣 Hivi huyu jamaa anapambana na Mbowe kamfanya nini? Hivi kweli TL kaihamishia ccm lumumba badala ya kwa wanasheria wenziwe?
  13. JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Kagera sugar

    1. Hii ni moja kati ya mechi bora kushuhudiwa katika ligi ya NBC msimu huu, Simba wamecheza vizuri na Kagera wamecheza vizuri pia. 2. Elie Mpanzu ni mtu, kama asipofanyiwa mambo ya kiswahili atatupa burudani tamu wapenda soka. 3. Fabrice Luamba Ngoma amezaliwa upya, yule aliyekua akicheza...
  14. JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  15. G

    JamiiForums Tanzania Wale wenye biashara za familia, hii ndio njia sahihi ya kulinda mali dhidi ya watoto wenye tamaa na majambazi wataoingia kwa njia ya ndoa

    Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea, Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali kuna mtoto hasa wa kwanza hupenda kujimilikisha biashara yote akiamini ni haki yake Wengine wanaolewa au kuoa majambazi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyeketi wa CHADEMA Mkoa Asema walimpa Lissu Nafasi ya Kugombea Urais Kwa sababu Alikuwa anaweza kuropoka dhidi ya Hayati Magufuli Lakini hana uwezo

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA wanaendelea kuvujisha siri za ndani kabisa. Bila shaka mpaka uchaguzi uishe kila kitu cha ndani na cha siri kitakuwa peupe kabisa . Sasa katika muendelezo wa kutoa siri za ndani juu ya uwezo mdogo wa kiuongozi alionao Lissu Mwenyekiti Wa CHADEMA ngazi ya Mkoa...
  17. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Maelekezo ya Makonda kuhusu Wananchi kumtembeza Diwani kwenye matope sio maelekezo ya Serikali

    Waziri Mchengerwa amethibitisha kwamba yeye ni mwanasheria. Ameiletea sifa kubwa taaluma yake ya Sheria. Baada ya Makonda kuwapomgeza wananchi waliokuwa wanawadhalilisha viongozi wao, Mchengerwa amesema wananchi wakatazwe kujichukua sheria mkononi. ==================== "Sasa niliona ile...
  18. JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba SC ikiibuka na ushindi dhidi ya Kengold

    1. Simba imecheza vizuri mno/kikubwa kipindi cha kwanza. Kongole kwa Awesu Awesu, Muzamiru yassin, Fabrice Ngoma, Kelvin Kijili na Ladark Chasambi. 2. Sub ya Okejepha, Ahoua na Mutale imeharibu mpira wa Simba kipindi cha pili. 3. Jean Charles Ahoua haitendei haki nafasi anayocheza, simba...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  20. JamiiForums Tanzania Askari wauawa Dodoma wakati wakienda kumkamata mtuhumiwa wa uhalifu.

    Wananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma. Tupate habari kamili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…