dharura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Weka In Case Of Emergency (ICE) kwenye simu yako ya mkononi endapo utapata tatizo wasamaria wema waweze kuwasiliana na watu wako wa karibu

    Katika maisha ya sasa hivi ni kawaida mtu kuweka PASSWORD kwenye simu yake ili kulinda na kudhibiti matumizi asiyopenda watu wafanye bila idhini yake. Hivyo basi ni vema kuweka taarifa za muhimu sana kama namba za simu za kuwasiliana nazo hata kama simu iko LOCKED. Unaweza kuhifadhi namba za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…