dereva wa heche

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Heche na Golugwa wamtembelea mjane wa Suez Tarime

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, pamoja na Naibu Katibu Mkuu Bara, Mheshimiwa Amani Golugwa, leo Jumatano, Julai 8, 2026, walifika nyumbani kwa marehemu Suez Dani Maradufu kumjulia hali mke wa marehemu, muda mfupi kabla ya Mheshimiwa Golugwa kuanza safari ya kuondoka...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Magari ya watu wasioulikana kwenye msiba wa Dereva wa Heche Tarime

    Akizungumza Msibani wa Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Leo Julai 5, 2026, Mwenyekiti wa chama hicho kwa Jimbo la Tarime Mjini, Bashiri Abdallah Selemani amekemea kitendo cha kuwepo kwa magari ya wasiojulikana katika eneo hilo akiwataka kutofanya...
  3. JamiiForums Tanzania Bashiri Abdallah: Nimepata taarifa kuwa 'Wasiojulikana' wapo hapa kwenye mazishi ya Suezi, hii ni Tarime, ukija hautoki

    Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Tarime Mjini, Ndugu Bashiri Abdallah amesema kuwa amepata taarifa kuwa 'Wasiojulikana' wapo hapa kwenye mazishi ya Suezi, hii ni Tarime, ukija hautoki Soma pia TANZIA - Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma Nimepata taarifa kwa usalama wa chama...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi Kigoma: Kifo cha Dereva wa Heche Suezi Maradufu, sampuli zimechukuliwa kwa ajili ya uchunguzi zaidi wa kisayansi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma lingependa kutoa taarifa ya mwendelezo wa uchunguzi wa kifo cha Suezi Dani Maradufu kilichotokea Julai 1, 2026 katika nyumba ya kulala wageni Ntahamba mkoani Kigoma. Leo Julai 3, 2026 mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi wa kisayansi na madaktari bingwa kutoka...
  5. JamiiForums Tanzania RC Simon Sirro: Kwa uzoefu wa askari wetu kifo cha dereva wa Heche kilikuwa cha kawaida

    Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro, amesema kuwa kwa mujibu wa uzoefu wa askari na wataalamu wa serikali, kifo cha dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, kinaonekana kuwa cha kawaida. "Kwa uzoefu wa askari wetu, inaonekana kifo chake ni cha kawaida. Lakini unajua tena...
  6. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kigoma kuhusu kifo cha dereva wa John Heche

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Deogratius Mahinyila, amesema ni muhimu taarifa zote kuhusu mazingira ya kifo cha marehemu Maradufu kuwekwa wazi ili kuondoa sintofahamu. Mahinyila ameeleza kuwa marehemu alikutwa na fedha taslimu kiasi cha Tsh. 428,000 ambazo alikabidhiwa, huku pia akibainisha kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania TANZIA Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo cha, Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, John Heche. Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma. Mwili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…