demokrasia afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Tanzania tunatia aibu wenzetu wanasonga kwenye democracy

    Nchi kama Zambia, Malawi , Kenya, Botswana zimeona mbali sisi tumebaki na wizi wa kura na uchawa. Tupiganie nchi yetu Huyu ni Wakili wa Rais Duma Boko amewasili katika Hotuba ya Bajeti ya mwaka 2026 iliyofanyika katika Parliament Buildings jijini Gaborone
  2. Scared

    Maandamano ya Mabango kumtoa Rais Afrika ni kupoteza muda

    Mimi binafsi naona kama maandamano ya amani ni ujinga na kupoteza mda. Africa huwezi mtoa mtawala Kwa maandamano ya kubeba mabango naamini Desemba 9 watakufa watu na hamna kipya kitakachotokea yaani adui anabeba bunduki wewe unabeba bango. Eti ukamtoe sifanyi huu ujinga mimi watu wamekufa kama...
  3. Idugunde

    Tafiti zimeonyesha watawala mafisadi na madhalimu wanaogopa maandamano kuliko mtutu wa Bunduki na vifaru

    Hii imethibitika dunia nzima. Maandamano ya wananchi waliochoka kuibiwa na kuteswa na madhalimu yana nguvu ya kuiangusha serikali dhalimu kuliko hata Mizinga na vifaru. Mapinduzi ya ya Tunisia na Misri mwaka 2010 yanatupa mfano hai. Ndio maana watawala wa kiafrika wanaogopa sana maandamano...
  4. B

    Hikainde Hichilema, Peter Mutharika na Jomo Kenyatta waliwahi kushtakiwa na kufungwa kwa makosa ya Uhaini. Hii inamaanisha nini?

    Nilikuwa nafatilia mwenendo wa mashataka unaoendelea kwenye Kesi inayomkabili Mh Tundu Lissu. Ambapo anatuhumiwa kwa makosa ya uhaini au kujaribu kuitishia mamlaka ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ktk sehemu ya maelezo aliyotoa Mh Lissu aliwahi kutaja kesi ya Aliyekuwa Rais Wa Kenya Jomo...
  5. Fbn

    Ni wazi sasa CCM mnajulikana kama wanavyo julikana nchi zilizoshindwa nchi kidemokrasia

    Ccm wanazani kuwa habari zao zipo ndani hapa TZ. Nchi nyingi zishajua kuwa hapa TZ hakuna la maana. Washatujua kuwa CCM ni genge la wahuni na wajinga. Tukicheka congo,sudani na kwengine basi na sisi tunachekwa kwa mengi
  6. M

    Mataifa ya Ulaya kwani hayana wakosoaji? Wanawezaje kuongoza kwa amani bila kutekana na kuuwana ilihali bado nako kuna upinzani?

    Inawezekana kabisa shida ya viongozi wetu walivyo, kwao kukosolewa ni sawa na kunyofolewa ngozi na ama kiungo kimojawapo cha mwili na au kujihisi wanakosa akili pindi wanapokosolewa Kumbe akili zao zipo palepale na ngozi au viungo vyao vipo pale pale Lakini kwa nini inawauma hivyo hadi kufikia...
  7. Tlaatlaah

    Kupata kura ziro kwenye uchaguzi ni uamuzi wa kidemokrasia wa wananchi na sio kuibiwa kura kama inavyopotoshwa na wanaokataliwa

    Mgombea wa chama chochote cha siasa kuchaguliwa na mpiga kura hua ni hiyari, uhuru na haki ya mwananchi mpiga kura. Mgombea wa cha siasa kukataliwa na wananchi kwa kuambulia kura zero, sio kuibiwa kura ila ndiyo hali halisi ya mgombea husika mbele ya wapiga kura. Ni muhimu sana kwa wagombea...
  8. Msela Wa Kitaa

    George Soros: Mfanyabiashara, mfadhili, au tishio la kimataifa?

    George Soros ni jina lenye uzito mkubwa na utata duniani. Kwa baadhi ya watu, ni mfadhili wa haki na demokrasia; kwa wengine, ni mkoloni wa kisasa anayefadhili vurugu kwa kutumia NGO na pesa. 1. Urusi: Tishio la Kitaifa Urusi ilipiga marufuku mashirika yake mwaka 2015, ikimtuhumu kwa kusaidia...
  9. I

    Nawakumbusha CHADEMA kwamba mikutano ya vyama vya siasa inapaswa kufuata sheria na taratibu za mikutano

    Kumekuwa na UPOTOSHAJI mkubwa wa sakata la kuzuiwa kwa Makamu Mwenyekiti mpya wa Chadema John Heche Kufanya MKUTANO wa hadhara bila kufuata Utaratibu (kibali), Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya tar 25/3/2025. Ni kweli kabisa Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti bara Mhe. John Heche...
  10. Mindyou

    LGE2024 Profesa Shivji ashangazwa na ripoti mpya ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ataja maeneo yaliyopwaya kwenye ripoti hiyo!

    Wakuu, Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Issa Shivji, amesema kuwa ripoti ya tathmini ya namna redio zilivyoripoti Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, iliyotolewa na Shule ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC), ilipaswa kuchambua mchakato mzima wa uchaguzi huo na...
  11. R

    Kugombea na kutumia gharama kubwa ukijua hutoshinda, ni sawa na kutogombea?

    Salaam! Je, ni sawa kupanga kujenga mnara pasipo kukaa chini na kupiga hesabu juu ya gharama zake? Siasa ni sayansi, je ni sawa chama Cha siasa kumpitisha mgombea asiyekubalika ,asiyekidhi matakwa ya wapiga kura? Ni sawa kuleta mgombea asiyependwa na wananchi? Ni sawa kupeleka n'gombe...
  12. Pascal Mayalla

    Jinsi 4R za Rais Samia zinavyoweza kutatua mgogoro wa DRC

    Wanabodi, Ninapotafakari kwa kina mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ninakumbuka falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kama ingetekelezwa ipasavyo, inaonekana kuwa ingeweza kuumaliza mgogoro huu mara moja. Swali linalojitokeza: Kwa nini wasaidizi wa Rais...
  13. I

    Timu Magufuli ndiyo kwisha habari yao

    Hii ndiyo hali halisi. Wote waliopinga uteuzi wa Magufuli kugombea Urais wa Tanzania ndiyo wanaelekea kushika hatamu ya uongozi wa nchi. Chato ijipange upya kukabiliana na ukweli uliopo na kamwe haiwezi kuwa Mkoa. "Wachawi wote wamekwisha kufa!" Jakaya Mrisho Kikwete.
  14. Mindyou

    Sanamu la Rais wa zamani wa Ghana Akufo Addo labomolewa, majigambo na kujitukuza zatajwa kama sababu

    Wakuu, Huko nchini Ghana sanamu ya kumbukumbu ya Rais wa zamani wa Ghana, Nana Akufo-Addo, iliyojengwa mwishoni mwa mwaka jana, imeangushwa. Wakati Akufo-Addo akizindua sanamu hilo Januari (11) katika Mkoa wa Magharibi alikumbana na mapokezi mabaya sana kwenye mitandao ya kijamii, huku wengine...
  15. Mindyou

    Washauri watatu wa zamani wa Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye watupwa gerezani kwa tuhuma za uhaini

    Katika hatua iliyoibua gumzo nchini Burundi, washiriki watatu waandamizi wa timu ya ushauri ya Rais Evariste Ndayishimiye wamejikuta gerezani katika Gereza Kuu la Mpimba, Bujumbura, wakikabiliwa na tuhuma za uhaini. Miongoni mwa waliotiwa mbaroni ni Baribonekeza Jean Baptiste, aliyewahi kuwa...
  16. Mindyou

    Watu 18 wafariki na wengine 6 kujeruhiwa wakiwa katika jaribio la kuvamia makazi ya Rais wa Chad

    Takriban watu 18 wamefariki dunia katika majibizano ya risasi kati ya kikosi cha walinzi wa Rais wa Chad na kundi la watu waliokuwa wamejihami kwa silaha za moto. Kundi la watu hao (bado halijatambulika) walikuwa wakirusha risasi kuelekea yalipo makazi ya Rais, Idriss Deby, jijini N’Djamena...
  17. Mindyou

    Msumbiji: Kiongozi wa upinzani, Venancio Mondlane atangaza kurejea kutoka uhamishoni

    Venancio Mondlane, kiongozi wa upinzani nchini Msumbiji, amethibitisha kuwa atarejea nchini Alhamisi wiki hii, siku chache kabla ya kuapishwa kwa rais mteule, Daniel Chapo. Mondlane, ambaye alikimbilia nje ya nchi baada ya wakili wake kuuawa kwa risasi mnamo Oktoba 19, alitoa tangazo hilo...
  18. Mindyou

    Serikali ya Chad yakaidi wito wa wananchi na upinzani wa kufuta na kurudia upya Uchaguzi!

    Hali ya mvutano inaendelea nchini Chad baada ya vyama vya upinzani kutaka kumalizika kwa haraka kwa serikali ya mpito nchini humo na kufutwa kwa uchaguzi mkuu uliofanyika Desemba 29. Kwa mujibu wa upinzani, uchaguzi huo ulisusiwa kwa kiasi kikubwa na wananchi na hivyo haupaswi kuendelea Tume...
Back
Top Bottom