degree kusoma veta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusoma 12

    Kwanini Wahitimu wa Degree Hawawezi Kuokolewa na VETA?

    Juzi Waziri Mkuu katoa kauli eti wahitimu wa degree waende VETA kujifunza ufundi ili wajiajiri. Kauli kama hizi ndizo zinathibitisha kwamba serikali yetu haijui kiini cha tatizo la ajira nchini. Badala ya kutengeneza mazingira mazuri ya ajira na biashara, wanataka vijana waende VETA kana kwamba...
  2. Wakusoma 12

    VETA ni Upotevu wa Muda na Fedha – Ukweli Mchungu

    VETA ni Upotevu wa Muda na Fedha – Ukweli Mchungu Watu wengi wanapohangaika kutafuta elimu bora ya ufundi, huambiwa VETA ni suluhisho. Wanawadanganya! Ukishapita huko, utagundua kuwa umepoteza muda, pesa, na nguvu zako bure. Huu ni ukweli mchungu ambao wachache wanathubutu kusema hadharani. 1...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Rais wa Serikali ya Wanafunzi UDOM, Mohamed Abdallah: Nikihitimu chuo kikuu naenda VETA

    Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi. Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1...
  4. robbyr

    Ni kwamba serikali haijui inataka nini kwenye elimu?

    Nyerere aliwahi kusema kuwa elimu ya msingi lazima ijikamilishe akimaanisha kuwa mwanafunzi akimaliza pale lazima awe na ujuzi unaotakiwa. Pia alisema elimu ya sekondari isiwe bomba la kupitishia watu kwenda vyuo vikuu bali lazima pia itoe maarifa toshelevu. Sasa Kauli ya waziri mkuu juu wa...
Back
Top Bottom