dcea

Distributional cost-effectiveness analysis (DCEA) is an extension of cost-effectiveness analysis (CEA) that incorporates concern for both the average levels of outcomes as well as the distribution of outcomes. It is particularly useful when evaluating interventions to tackle health inequality.
DCEA includes Extended Cost Effectiveness Analysis, which in addition to standard CEA assesses the costs and effectiveness for different socioeconomic groups.

View More On Wikipedia.org
  1. Damaso

    Kifo cha Mohammed Kisingwe na Sintofahamu ya DCEA

    Kifo cha Mohamed Mohamed Kisingwe kimeibua mjadala mzito miongoni mwa wananchi kuhusu uhusiano kati ya vyombo vya dola na usalama wa raia. Tukio hilo, linalohusishwa na operesheni ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), limeacha maswali mengi yasiyo na majibu na hisia...
  2. Mafyangula

    Mamlaka ya kuthibiti na kupambana na dawa za kulevya takribani tani 4 zakamatwa

    Mwezi Novemba, 2025 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni mbalimbali zilizofanikisha ukamataji wa jumla ya kilogramu 3,799.22 za dawa za kulevya, kuteketeza ekari 18 za mashamba ya bangi pamoja na kutaifisha mali za wahalifu wa dawa za kulevya zenye...
  3. Waufukweni

    DCEA yatoa pendekezo wauza dawa za kulevya kunyongwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeeleza kuwa ipo tayari kushauri mamlaka husika kutunga sheria itakayoruhusu wauzaji na wasambazaji wa dawa za kulevya nchini kunyongwa. Pamoja na pendekezo hilo, mamlaka imewataka watu wote wanaojihusisha na biashara ya dawa za...
  4. W

    SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  5. McLaren

    Tani 18.5 za dawa za kulevya zakamatwa, zilikuwa zinaingizwa kama mbolea

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata Shehena kubwa ya dawa mpya ya Kulevya aina ya Mitragyna speciosa, yenye Mifuko 756 yenye uzito wa jumla wa kilogramu 18,485.6, sawa na takriban tani 18.5 Shehena hiyo ilipatikana ikiingizwa nchini kama Mbolea. Kamishna...
  6. LAZIMA NISEME

    DCEA yakamata kilogram 4,568 za dawa za kulevya, yazuia tani 14 za kemikali bashirifu kuingia nchini

    Mwezi Machi na Aprili, 2025 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwakushirikiana na vyombo vingine vya dola imefanya operesheni Katika mikoa ya Dar es Salaam,shinyanga, Tabora, Tanga, Songwe, Mbeya na Arusha na kufanikiwa kuzuia tani 14 za kemikalibashirifu zilizokuwa...
  7. T

    DCEA Mirungi ni halali Himo?

    Biashara ya mirungi imeshamiri sana hapa Himo na inauzwa kwa uwazi kabisa. Asilimia kubwa ya Vijana (Ke na Me) ndiyo wateja wakubwa wa biashara hiyo. Polisi Himo naamini wanawajua suppliers na vendors wa mirungi lakini hawawafanyi chochote. Labda kwa sababu wanafaidika na biashara hiyo au...
  8. Pfizer

    DCEA yamnasa Kinara wa Mirungi, yateketeza Ekari 285.5 Same

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum wilayani Same, mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 19 hadi 25 Machi 2025. Katika operesheni hiyo, ekari 285.5 za mashamba ya mirungi zimeteketezwa na watuhumiwa saba...
  9. Ojuolegbha

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) yakamata Kilogramu 2,327,983.66 za Dawa za Kulevya 2024, idadi ambayo haijawahi kufikiwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) yakamata Kilogramu 2,327,983.66 za Dawa za Kulevya 2024, idadi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuanza kwa mapambano haya nchini. Dawa zilizokamatwa zilijumuisha bangi aina ya skanka na hashishi, methamphetamine, heroin, na dawa tiba...
  10. Pfizer

    Dodoma: DCEA kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi

    DODOMA: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya Ikome wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma yakiwa yamechanganywa na mazao mengine halali ili kuficha shughuli...
  11. Pfizer

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa yatangazwa mshindi wa kwanza tuzo ya umahiri katika utayarishaji bora wa taarifa za hesabu kwa mwaka 2024

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeendelea kung'ara katika uwanja wa usimamizi wa fedha za Umma. Katika hafla ya tuzo iliyofanyika usiku wa tarehe 29 Novemba 2024, DCEA ilitangazwa mshindi wa kwanza tuzo ya umahiri katika utayarishaji bora wa taarifa za hesabu kwa...
  12. Just Pray

    DCEA: Wanawake waongoza kutumia Skanka, Mapenzi yanatajwa kuwa chanzo

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas James Lyimo amesema wamefanikiwa kukamata Kilogramu 1066.105 za dawa za kulevya,mililita 447 za dawa tiba zenye asili ya kulevya, kuteketeza hekari 157.4 za mashamba ya bangi. Akizungumza na wanahabari...
  13. Pfizer

    Waziri Dkt. Nchemba azungumza na Kamishna Jenerali wa DCEA Aretas Lyimo

    DODOMA-Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA), Aretas Lyimo, ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya Mamlaka hiyo, katika Ofisi ya Waziri wa...
Back
Top Bottom