Kilichopaswa kuwa siku ya mwisho ya kumuaga dereva bodaboda Emmanuel Mwanry kiligeuka kuwa tukio la taharuki na sintofahamu katika Kijiji cha Ngirinyi, Kata ya Levishi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro.
Mamia ya waombolezaji waliokuwa wamekusanyika tangu mchana kwa ajili ya mazishi ya marehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.