Salaam!
Ukisikiza kauli za mtu huyu zilizopita ukilinganisha na aliyotoa Jana,
Ni kama anafuta kauli zake zote zilizopita kwamba tubaki na hii ya Jana .
Amesema kwamba, jukumu lake ni kulinda watu wote na dini zote na Imani zote,
Kwamba serikali haina mamlaka kuingilia uhuru wa watu kuabudu...