Wakuu,
Baada ya mwili wa Temba kuopolewa huko Tabata uliibuka mwili mwingine maeno ya Daraja la Salender, ukionekana kuwa ni wa mwanaume, polisi walifika na kuchukua mwili na kuondoka nao.
Mpaka leo hakuna taarifa yoyote juu ya mwili huo, ni nani, ametokea wapi, amekutwa na majeraha gani, nk...
LANGO LA KUZIMU SALENDA BRIDGE
Udhibiti juu ya utajiri, majini, uhai na kifo
Hii ni uhalisia na sio story na uwe unafanya uchunguzi maana si kila kitu cha kubisha. Ukiwa ujui kitu kuna watu watapewa neema ya kujua ili wakuambie wewe. Lango za kuzimu ni shimo au nyufa isiyoonekana kwa macho ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.