damas ndumbaro

Damas Daniel Ndumbaro (born 14 June 1971) is a Tanzanian politician, lawyer and cabinet Minister of Culture, Arts and Sports.
He was a Minister of Natural Resources and Tourism and a politician who presently serves as a Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Songea Urban constituency for the second term since 2015. Also was the acting Chief Executive Officer of the Tanzania-Zambia Railway Authority since March 2013. He was an Advocate and a Lecturer of law at the Open University of Tanzania before joining politics and won a majority vote election in Songea Urban constituency under the ruling party CCM.

View More On Wikipedia.org
  1. Mafyangula

    PostGE2025 Damas Ndumbaro: Wasanii wa Tanzania hawajavunja sheria kwa kuuza kazi zao au kushiriki katika kampeni za CCM

    Damas Ndumbaro: Kazi ya Sanaa ni haki ya msingi ya binadamu, kama inavyotambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 18 (a). Vilevile, sanaa ni ajira na biashara halali. Wasanii wa Tanzania hawajavunja sheria kwa kuuza kazi zao au kushiriki katika kampeni za Uchaguzi Mkuu...
  2. W

    PreGE2025 Waziri Ndumbaro: Endapo chama hakitaki kushiriki uchaguzi Kuna ulazima gani wa kututangazia? Wamalizane ndani ya chama

    Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa suala la chama kutoshiriki Uchaguzi ni suala binafsi ndani ya Chama husika haipaswi kulazimisha umma kutoshiriki Uchaguzi. Ndumbaro amesema hayo mbele ya watendaji wa Serikali za Mitaa, Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za Mitaa kutoka...
  3. Cute Wife

    DOKEZO PreGE2025 TAKUKURU mulikeni na kwa Waziri Ndumbaro, anapenyeza michuzi kuhonga wajumbe Songea

    Wakuu, Mbunge na Waziri wa katiba na Sheria Damas Ndumbaro akiwa Songea ukumbi wa bombambili, alitoa 'posho' ya Tsh. 20,000/=kwa Kila mjumbe. Ambapo wajumbe hao ni wapiga kura za maoni ndani ya chama kwa uchaguzi ujao. Kwa kavideo hako ni mabalozi na wajumbe wa mabalozi ambao idadi yao ni...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Ndumbaro: Watanzania puuzeni wanaowashawishi msishiriki uchaguzi

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Watanzania wote kuwapuuza wanasiasa wanaowashawishi kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba kwa kila Mtanzania mwenye vigezo. Akizungumza Aprili 14, 2025 katika...
  5. W

    PreGE2025 Ndumbaro anaposema Samia Legal Aid siyo bure ni kwamba wote tumelipiwa na Rais anamaanisha hizo hela zinatoka mfukoni mwake ama?

    Akizungumza katika Uzinduzi wa msaada wa Kisheria wa mama Samia, waziri wa katiba na sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa kampeni hiyo inaonekana ni bure na inatolewa bure kwa wananchi lakini ki uhalisia huduma hiyo imelipiwa na Rais Samia.
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Damas Ndumbaro: Nilishangilia nikapanda juu ya meza Nchimbi ulivyotangazwa kuwa Mgombea mwenza wa Urais

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza namna alivyofurahi baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kutangazwa kuwa Mgombea mwenza wa Urais kwenye mkutano maalum wa CCM, Januari mwaka huu. Akitoa salamu za Jimbo la Songea, leo Aprili 4,2025 wakati wa Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la...
  7. Nipe Maji

    PreGE2025 Damas Ndumbaro: Mama Samia Legal Aid imewafikia wananchi zaidi ya milioni mbili

    Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mpaka sasa imefika katika mikoa 23, ambapo imesikiliza na kutatua kero na changamoto za Wananchi ambapo mpaka sasa takribani wananchi milioni mbili, laki moja na tisini na mbili, mia tatu...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Waziri Ndumbaro: Miaka 4 ya Rais Samia Haki za Binadamu zimetekelezwa kwa vitendo

    WAZIRI wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza jinsi ambayo katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametekeleza kwa vitendo haki za binadamu. Waziri Ndumbaro amesema hayo Leo Machi 19, 2025 Jijini Dar Es Salaam...
  9. Cute Wife

    PreGE2025 Kilimanjaro: Waziri Ndumbaro aja na 'Gusa, Achia Twende na Samia Legal Aid' pamoja na 'Ubaya Ubwela' kwa wanaokiuka sheria!

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka huko, mwishowe waje na kauli mbiu yenye matusi mradi tu kampeni zifanyike😂:BearLaugh::BearLaugh: ====== Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ni utekelezaji wa Rais Samia Suluhu Hassan ya...
  10. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro Awafariji Waathirika wa Mvua Songea

    WAZIRI wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewatembelea na kuwafariji waathirika wa mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo JAnuari 3, 20255 katika Manispaa ya Songea Mjini mkoani Ruvuma na kuathiri Kaya zaidi ya 50. Waziri Ndumbaro amewataka waathirika hao...
  11. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Dkt. Damas Ndumbaro agawa Mitungi ya Gesi 150 Songea Mjini, Wanawake wamshukuru sana

    Dkt. Damas Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini amegawa Majiko ya Gesi 150 ya kupikia pamoja na Viambata vyake kwa Wanawake wa Kata 21 za Jimbo la Songea Mjini "Mapema Desemba 27, 2024 hapa manispaa ya Songea Mjini nikiambatana na Kamati ya Mfuko wa...
  12. Cute Wife

    PreGE2025 Waziri wa Katiba na Sheria (Ndumbaro): Tanzania inaendelea kwa sababu kuna Haki, Usawa na Amani

    Wakuu, Wananchi tuna amani, muda wote ni mwendo wa kububujikwa machozi ya furaha kwa nzuri anayofanya kipenzi chetu Mama Dokta (zitamke mara 9 sikumbuki namba yote) Kipenzi cha Wote Jemedari Amiri Jeshi Mkuu mwenye anaupiga mwingi Samia Suluhu Hassani, au nasema uongo ndugu zangu? :BearLaugh...
  13. Cute Wife

    PreGE2025 Njombe: Waziri Ndumbaro atumia soka kuhamasisha ushiriki wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Waziri Michezo Dkt. Damas Ndumbaro ametoa wito kwa Watanzania kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 kwani uchaguzi huo ni muhimu kwa kuwa unawezesha kupatikana viongozi wa ngazi za chini kabisa katika muundo wa uongozi hapa nchini Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi...
  14. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Waziri Ndumbaro atumia bajaji kuhimiza wananchi kujiandikisha Daftari la Mpiga Kura Songea

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Oktoba 15, 2024 Manispaa ya Songea ameendelea na zoezi la kuhamasisha wananchi wa manispaa hiyo kujitokeza kwa wingi katika vituo vya uandikishaji kwenye daftari la wapiga kura wa uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024. Katika...
Back
Top Bottom