daktari kumpiga muuguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MOI: Huduma za upasuaji zinaendelea kama kawaida, mwenye changamoto afike ofisini tumsaidie

    Baada ya mdau mmoja wa JamiiForums.com kudai kuwa mgonjwa wao amekaa zaidi ya wiki mbili katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akisubiri kufanyiwa upasuaji, huku wakielezwa kuwa kuna vifaa vinasubiriwa, jambo linaloongeza gharama kwa familia, taasisi hiyo imetoa ufafanuzi...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Chama cha Wauguzi: Daktari amekiri kumpiga Muuguzi, anajutia, Viongozi wasifiche maovu

    Tukio la daktari katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu (Somanda) kudaiwa kumpiga hadi kuzirai muuguzi katika hospitali hiyo limechikuwa sura mpya baada ya ufafanuzi kuanza kuwekwa wazi. Pia soma ~ Daktari amempiga hadi kuzirai Muuguzi mwenzetu, hakuna hatua...
Back
Top Bottom