Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeongeza siku mbili (Machi 24 na 25) za uboreshaji wa daftari la mpigakura kwa Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi.
Taarifa ya INEC imetolewa leo Machi 23, 2025 na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Jacobs Mwambegele ikiwa ni siku moja...
Wakuu,
Makamu wa kwanza wa Rais, Othman Masoud Othman, amejiandikisha katika Daftari la Wapigakura wapya katika kituo cha uandikishaji Shule Mpendae, visiwani Zanzibar.
Akizungumza baada ya kujiandikisha, leo, Masoud ambae pia ni Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, amesema kujiandikisha...
Kwa ufahamu tu:
Tofauti kati ya Daftari la Kudumu la Wapigakura na Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa
Daftari la Kudumu linasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa ajili ya Kumchagua Diwani, Mbunge na Rais kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.