Klabu ya Simba imeruhusiwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 14 Juni 2025, siku ya Jumamosi ambayo ni siku moja kabla ya mechi ya 'DABI' dhidi ya Yanga SC.
Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo imewaandikia barua hiyo hapo juu klabu ya Simba ambayo ndiyo klabu mgeni kwenye...
Kwa hili sakata linavyoendelea,nikiwa mpenzi wa mpira hasa wa Tanzania nawaomba sana TFF na bodi ya ligi suala la mechi ya yanga na simba lifungwe pazia lake siku hiyo iwe yanga waje uwanjani au wasije uwanjani kanuni zifuate mkondo wake!
Ukweli ni kwamba yanga Wana lao jambo,suala la...
"...Ligi yetu inaelekea mwisho lakini kumekuwa na mvutano wa hizi timu mbili na Viongozi wa TFF, ipi kauli ya Serikali...." Mbunge wa Makete - Festo Sanga.
TAARIFA KWA UMΜΑ
JUNI 09, 2025
Uongozi wa Young Africans Sports Club, unapenda kuutarifu umma kuwa, tarehe 7 Juni, 2025 tulipokea barua kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria kikao maalum cha kujadili masuala yahusuyo mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC, YANGA dhidi ya Simba...
Sio Tanzania niliyoizoea hii, Tanzania nayoijua inapokaribia Derby Talk of the town huwa ni Simba na Yanga.
Tena hii derby inayokaribia imejaa ukakasi kama itachezwa au lah, kuna kiu ya kuona TFF watatoa maamuzi gani, kurahisisha kwa maneno machache, Tanzania niliyozoea ilibidi kuwe na debates...
Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
Nimepata habari za chini chini kuwa , Bodi ya Ligi inapanga kutumia staili na busara iliyotumika katika derby ya Al ahly na Zamaleki.
Bodi ya Ligi Haina mpango wa kumpokonya Yanga point 15. Kwa ufupi Al ahly aligomea mchezo wake wa Derby dhidi ya Zamaleki, na Kwa taratibu zao ilipaswa Zamaleki...
Hii sio meme, ndio hali halisi, Kama hata Singida walishinda 3 tena kwa huruma ya Refa kupunguza magoli, jambo la msingi ni kuwaombe Yanga washikilie msimamo wao "HATUCHEZI" vinginevyo kuna aibu
Kombe la CAF shirikisho ❌
Kombe la FA ❌
Kombe la ngao ya Hisani ❌
Kombe la mapinduzi ❌
Kombe la...
Wakuuu
Serikali inasisitiza Dabi iko palepale, ile kauli ya 'HATUCHEZI' imeishia wapi?
==
Serikali imethibitisha rasmi kuwa pambano kubwa la watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba litapigwa kama ilivyopangwa, Juni 15, 2025, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Katika kipindi cha...
Yanga Sc kupitia viongozi wa Matawi mbalimbali kutoka jijini Dar Es Salaam wamekutana makao makuu ya klabu yao Jangwani leo hii Mei 10/2025 huku wakiziuliza mamlaka za soka nchini kuwa wanapangaje tarehe mpya mchezo wakati hawajaja na taarifa ya uchunguzi juu ya mchezo ulioahirishwa Machi...
Uogozi wa Yanga wamepewa taarifa pamoja na timu zingine ratiba ya michezo iliyobaki Sasa kama wapo serious kweli waandike barua TFF kuwa hawapo tayari kucheza mechi ya tarehe 15 kama kweli wanamaanisha.
Hao ndo watu walokabidhiwa mamlaka kuhakikisha Usalama wa Uchumi, Kisiasa, Kijamii na kiulinzi kwa Taifa la Tanzania.
Ila maajabu wanawaza maigizo ya kijinga Jinga , wanaotumia Yanga ijifanye Haichezi Derby wakijua watanzania wanapenda Mpira.
Siku wakimuachia LISSU, Yanga ijifanye kusema...
Kama zilivyokuwa sababu za kuahirisha mchezo tarehe 8, Ndivyo itakavyokuwa tarehe 15, Licha ya Yanga kusema "HATUCHEZI" lakini pia tutafanya vurugu kwa yeyote atakayeleta timu uwanjani. Mabaunsa pia watakuwepo kabla ya tarehe hiyo kuzuia na kuikabili timu yoyote itakayoleta pua uwanjani.
Je...
Simba walipoenda kufanya mazoezi,walikutana na watu waluojulikana kama mabaunsa.
Walitoa taarifa ya malalamiko yao siku ile ile.
Bodi ya ligi walikuwepo na walipaswa kupitia mwakilishi wao kutoa taarifa polisi ili wale wahuni wakamatwe.
Huenda walitoa taarifa polisi na huenda kwa sababu polisi...
NAMNA BODI YA LIGI ANAVYOTAKA KUMBEBESHA MSALABA WAKE YANGA - SEHEMU YA KWANZA.
Wakati Simba Sports Club imechapisha taarifa ya kugomea mchezo wa Derby walikuja na sababu zao na chini kabisa Klabu ikasema “Uchunguzi ufanyike na Wahusika wakuchukuliwe hatua kali za Kisheria” naaam na Bodi ya...
Habari wakuu.
Mimi si Mtabiri.
Ila nimesikia na nimeona baadhi ya mashabiki na viongozi wana dalili za kususia mchezo No 184
Wa Kariakoo Deby uliopangwa ufanyike hapo Temeke Dar es salaam mnamo tarehe 15 June 2025 saa 01:00 jioni.
Je, kama JamiiForums kuna Home of Great thinkers kuna...
Serikali ina haha kujaribu kuzima mgomo wa Yanga kucheza mechi ya derby iwapo itapangwa tena.
Ukiangalia chanzo ni serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde ubingwa kirahisi na kwa mbinu nje ya uwanja.
Kitendo cha meneja wa uwanja kugoma kuwafungulia Simba kufanya mazoezi na kusafisha...
Murtaza Mangungu mwenyekiti wa Simba SC baada ya kutoka Kikaoni na Serikali, TFF na Bodi ya Ligi amesema;
"Kikao chetu sisi kimejadili maendeleo ya mpira hakijajadili walichojadiana na wenzetu, tungejadili mechi yetu tungeitwa kwa pamoja ila mamlaka si ilishasema mechi yetu itapangiwa tarehe...