css

  1. N

    Teknolojia za Uundaji wa Programu: Native vs. HTML, CSS, na JavaScript ni ipi ni rahisi na ina ubora zaidi

    Native ni nini ? "Native" inamaanisha kwamba programu imeundwa kwa ajili ya kufanya kazi kwenye mfumo maalum wa uendeshaji wa kifaa, kama vile Android au iOS, na hutumia lugha na zana za maendeleo za asili za mifumo hiyo. HTML, css, js ni nini ? HTML, CSS, na JavaScript ni teknolojia za...
  2. A

    Baada ya kutengeneza website kwa kutumia HTML na CSS , nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni?

    Wakuu naomba ushauri wenu hapo , baada kudesign website kwa kutumia HTML na CSS ,je nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni
  3. Wong Fei

    Msaada: Namna ya kuweka full width CSS, Related posts display na Post Navigation display kwenye blogger

    Thread closed
  4. M

    Natafuta Mtu wa kuniongoza Kwenye Front End (Web Developer)

    Niaje Wadau? Nilikua Natafta Mtu anaejua Web Development Fresh Ani Guide ili niweze kuielewa fresh Nimeisha nunua course ya HTML & CSS Ya Brad Traversy Kwaiyo Nahitaji Mtu ambae yuko fresh awe ana niguide
  5. Dr Orb

    Muongozo wa software developer anaeanza part-3 (WEB BASED APPLICATION)

    Uzi huu unaletwa kwenu na Orb Tech LLC. Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-2 Sehemu hii tutazumgumzia Web based applications. Kama tulivyoainisha hapo awali hizi ni program zinazotumia internet katika kufanikisha jambo lililokusudiwa mfano Kupatana...
Back
Top Bottom