Crown Media inapaswa kuchukuliwa hatua kali na Mamlaka kwa kuruhusu watoto wadogo kuhudhuria tamasha la usiku la Utete, Rufiji, kwenye Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru.
Kupitia video hizi Crown wameruhusu Watoto kushiriki katika shughuli zinazoweza kuwa na madhara kwa afya, elimu, akili, mwili, au...