Frankly speaking, mimi kama shabiki wa Simba,naona kabisa tunapoelekea na aina ya uchezaji wa team ni ngumu sana kwenye mechi za Champions league baada ya makundi!(Kama tutapita).
Tuna expect kukutana na Mamelodi,Ahly,Esperance,Wydad na berkane!
Hakuna muunganiko kuanzia nyuma kuja katikati na...