Clara Cleitus Luvanga (born 25 February 2005) is a Tanzanian professional footballer who plays as a striker for the Washington Spirit of the National Women's Soccer League (NWSL) and the Tanzania national team.
Nyota wa Kimataifa Kutoka Tanzania Clara Luvanga ametangazwa kuwa mchezaji mpya wa Washington Spirit inayishiriki Ligi Kuu ya Marekani akitokea Al Nassr ya Saudi Arabia
Clara amesaini mkataba wa miaka minne mpaka mwaka 2029 na Ada ya uhamisho huo inaripotiwa kuwa Dola Milioni 2 ambayo itakuwa...
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Clara Luvanga (21), ameweka rekodi ya dunia ya kuwa mchezaji ghali zaidi katika historia ya mpira wa miguu wa wanawake baada ya kusajiliwa na klabu ya Washington Spirit inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini Marekani (NWSL), akitokea Al Nassr ya Saudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.