chupa za maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Namshakende

    JamiiForums Tanzania Wenye Baa tafadhalini Pandisheni Bei ya Chupa za Maji!

    Hivi nyinyi watu mnaokwenda baa halafu mnaagiza chupa moja tu ya maji na kukaa nayo zaidi ya masaa matatu, kichwani zinawatosha kweli? 😂 Wenye baa, wekeni utaratibu mpya au mpandishe bei ya maji! Mtu hawezi kukalia meza masaa matatu kwa matumizi ya shilingi elfu moja au elfu mbili huku wateja...
  2. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zimeachaje wauza juisi mitaani kutumia chupa za maji zilizotumika na kutupwa ovyo?

    Wakuu, hivi Mamlaka zetu lini zitakuwa macho kukemea na kujali Afya za watu wake? Kuna mambo ya ajabu sana yanafanyika waziwazi mitaani lakini Mamlaka ziko kimya, hivi inakuwaje Watu wanauziwa Juisi au Pilipili za kusaga masalo mitaani na Serikali ipo inaangalia tu. Zile chupa zinaokotwa baada...
Back
Top Bottom