Wanafunzi wa Kampala kwenye upande wa Afya tunanyanyasika na lectures wa Kigeni, haswa sisi Wanafunzi wa maabara.
Tunasimamiwa na raia wa Nigeria, hana msaada wowote zaidi ya kutunyanyasa na ametufanya wanafunzi kitega uchumi wake, Mwanafunzi akichelewa ku-submit research idarani anatakiwa...
Chuo kikuu cha Kampala nchini Tanzania (KIUT) kimekuwa na utaratibu au mazoea ya kukwepa kulipa Wafanyakazi walioacha kazi au kuondoka chuoni hapo mishahara ambayo hayakulipwa kipindi walipokuwa wakifanya kazi chuoni, hata hivyo Wafanyakazi wanaoendelea na kazi wengi bado wanadai mishahara...
Anonymous
Thread
chuokikuukampalakampala university
manyanyaso kwa wafanyakazi
mateso kwa wafanyakazo