chuo cha veta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Madereva tuliosoma Chuo cha VETA Chang'ombe, tuna changamoto ya kucheleweshewa vyeti hali inayosababisha kushindwa kuhuisha leseni zetu

    Mpaka sasa tuna zaidi ya mwezi tangu tumalize kufanya mitihani, leseni zetu zimeisha, hali inayosababisha madereva wengine kupoteza ajira zao. Mpaka sasa hatujui ni lini tutapata vyeti ama waangalie namna tutakayoweza kuhuisha leseni zetu, wakati tunasubiri kupata vyeti. Kifupi ni kwamba...
  2. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 112 chuo cha VETA Geita wanufaika na kusoma bure

    Wanafunzi wa chuo cha VETA Geita kilichopo kata ya Buhalahala katika halmashauri ya manispaa ya Geita wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusogeza huduma ya masomo bure katika chuo hicho. Wakizungumza na Storm FM baadhi ya wanafunzi wamepongeza hatua hiyo huku Mkuu wa chuo cha VETA Geita...
  3. JamiiForums Tanzania Chuo cha Veta - Njiro Arusha kinatuzungusha tuliosoma Kozi ya Udereva, hawapeleki matokeo yetu kwa TRAFFIC.

    Chuo cha Veta Kilichopo Njiro Arusha, KOZI YA UDEREVA Ngazi ya (PSV NA VIP) Kimekuwa Kikituzungusha Kutopeleka Matokeo Yetu TRAFFIC. Wanafunzi wa Intec No. 177 Na 178 Ambao tumesoma mnamo tarehe 24 January 2022, lakini hadi leo ni miaka 4 tukifika Police kwa ajili ya Ku Hakiki Lessen...
  4. JamiiForums Tanzania Kijue chuo cha VETA Tanzania

    VETA (Vocational Education and Training Authority) ni taasisi ya serikali ya Tanzania inayotoa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na watu wazima. Imekuwa msaada mkubwa kwa wale wanaotafuta njia mbadala ya elimu ya kawaida ya darasani kwa lengo la kujiajiri au kuajiriwa kwa ujuzi wa vitendo. 2...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi ndo sababu kwanini naenda Veta kujifunza kupika

    1. Asilimia kubwa ya wa Tanzania ( wa Bantu) Hawajui kupika. The only thing that they can cook better is hot water. Watanzania wanao we za kupika vizuri ni wasomali. Ndo maana kila siku huwa natoka Kinondoni naenda kula kariakoo pale Al-Uruba Hotel kwa wasomali. Watanzania wachache sana ( wa...
  6. JamiiForums Tanzania Waliosoma UDSM kipindi cha nyuma teknolojia ya internet bado inakuwa walikuwa wabishi wakisema taarifa unazopata ni za uongo

    Mi bado na kazia tu wasomi waende VETA. Miaka ya nyuma ilikuwa kazi sana na wasomi UDSM ambao waliamini maarifa na taarifa zipo sehemu moja ambayo ni chuoni na vitabu vilivyomo hapo tu. Hata hapa JF ukitafuta mijadala mingi kipindi JF inaanza utaona wakisema taarifa za internet ni uwongo.
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Wahitimu wa Degree Hawawezi Kuokolewa na VETA?

    Juzi Waziri Mkuu katoa kauli eti wahitimu wa degree waende VETA kujifunza ufundi ili wajiajiri. Kauli kama hizi ndizo zinathibitisha kwamba serikali yetu haijui kiini cha tatizo la ajira nchini. Badala ya kutengeneza mazingira mazuri ya ajira na biashara, wanataka vijana waende VETA kana kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta chuo Cha veta kinacho fundisha Architecture Au Mechanical

    Mimi ni degree holder, ila nimekuwa motivated kwenda veta ,kusoma hizo kozi tajwa hapo juu Nataka chuo kilichopo Dar es salaam. Sina background ya hayo mambo, Mimi ni muhasibu
  9. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya VETA: Yafanya Makubwa, Mazuri Kwa TZ, Rais Samia, Prof. Mkenda, Prof. Mchome, CPA Kasore, Menejimenti, na Wafanyakazi, Wapewe Maua Yao!.

    Wanabodi, https://youtu.be/OSGYViDqx8Yhttps://youtu.be/oqwZRhin8ek https://youtu.be/EEMSp2L7MZk Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Hii Makala yangu kuhusu Maadhimisho ya Miaka 30 ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA, kiukweli kabisa, VETA imefanya makubwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Chuo gani cha VETA Arusha kiko vizuri na ada zao ni nafuu?

    Habarini wanaJF, nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana na ameomba tumtafutie chuo bora cha VETA akasomee kozi ndefu ya umeme, ana pass ya C 2 na D 4 maana anapenda sana umeme so nilikuwa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie kimawazo ni chuo gani cha veta bora ARUSHA. Au hata sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…