Sio mapenzi, sio pesa sio Nini, jitahidi sana chozi la mtu lisidondoke wewe ukiwa chanzo.
Una umiza hisia za mtu au watu, unajitapa we bingwa wa kuumiza watu kwenye mapenzi, una dhutumu una ibia watu una ua watu wanao tegemewa na familia zao, kisa pesa au kisa uonekane mzuri sana.
Una kutana...
Usije ukaenda kijijini ukapata mwanamke kumbe ni mke wa mtu. Watu wa kijijini sio wastaarabu ndugu zangu watakuangalia wanakusomea nyendo zako usije kushangaa unatenganishwa kichwa kama kumbikumbi. Chunga sana unapoenda vijijini usijione wa mjini ukadhani wanawake watakaokushobokea ni kutaka...
Msanii mkongwe wa Hip Hop nchini, Salutaba Mwakimwagile maarufu kama Salu T amefariki dunia jijini Mbeya leo tarehe 15 Aprili 2023. Msanii huyo amefariki akiwa anaendelea kupewa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya.
Akitoa taarifa ya awali, Msanii mwingine wa HipHop, Taikun Ally maarufu...