Mwanahabari mkongwe na mashuhuri wa kimataifa na mtangazaji mkuu wa habari za kimataifa wa CNN, Christiane Amanpour, ametangaza kuwa ataondoka katika mtandao huo Juni 2027, akihitimisha safari ya miaka 43. Amanpour, mwenye umri wa miaka 68, ametangaza uamuzi huo Jumatatu, Oktoba 19, 2026, baada...