chopa

The Chorus Paulinus or CHOPA is a choir in the Philippines. It is known for its a cappella-style blending of voices that creates a sound reflective of its high choral standards.

View More On Wikipedia.org
  1. Chopa guta za abiria

    Naweza kupata wapi?? Kwa mkopo??
  2. M

    Tunauza chopa mashine karibuni mifugo plus

    Karibuni mifugo plus Tunauza chopa mashine ni mashine yakuchakata chakula cha mifugo mifugo yoye zipo kwenye ofa ofa baada ya lak 4 utalipia Bei laki 380 mashine ziko chache sana maboss zangu Piga sim chapu 0612323330
  3. GE2025 Chopa ya CHAUMMA yaishiwa mafuta, na kusababisha mwenyekiti wa chama hicho kushindwa kuhudhuria mkutano

    Chopa inayotumiwa na Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashimu Rungwe na viongozi wengine wa chama hicho, imeishiwa mafuta na kusababisha kiongozi huyo ashindwe kuhudhuria mkutano wa hadhara uliokuwa ufanyike Lindi Mjini. Akizungumza leo, Julai 15, 2025, katika Viwanja vya Mpilipili, Lindi Mjini...
  4. R

    GE2025 CHAUMMA walivyoshuka na chopa Tanga

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kipo tayari kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu na kitasimamisha wagombea wa ubunge na udiwani Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa Salum Mwalimu mkoani Tanga kwenye mkutano wa...
  5. Chopa ya CHAUMMA yaanza kufanya ziara Tanga

    Leo Jumamosi Julai12, 2025 Chama Cha ukombozi wa umma CHAUMMA kimeanza ziara zake mkoani Tanga kwa kutumia usafiri wa Helkopta maarufu kama 'Chopa', wakianzia Wilayani Korogwe na Jioni hii wakitarajiwa kuwa na Mikutano yake Tanga Mjini. Katika ziara hiyo Viongozi mbalimbali wa Kitaifa wanashiriki.
  6. M

    CHAUMMA: Kampeni ya kuruka na chopa mikoa 16 imeishia wapi?

    CHAUMMA walitangaza kuanza operation C4C wakiruka na Chopa. Hatimaye wakaizindua pale Mwanza na mara ya mwisho nimewasikia wakiwa Mara. Je hizo operation zinaendelea au wamerudi kwenye drawing board?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…